Trekta inauzwa massey 165 (Almost mpya)

Trekta inauzwa massey 165 (Almost mpya)

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,175
Reaction score
3,275
Tunauza trekta limeagizwa toka uingereza ni massey ferguson 165 .ilikuwa inatumika kule ila imekuwa refurbushed kule kule.... ina jembe jipya kabisa. Njoo pm kwa maelezo zaidi na pictures ...

Bei 33m ila kuna mazungumzo.
 
Ndugu hiyo bei !!!

Zunguka jijini ulizia bei ya tractor jipya kabisa kama hilo na jembe lake utashangaa.
 
Ndugu hiyo bei !!!

Zunguka jijini ulizia bei ya tractor jipya kabisa kama hilo na jembe lake utashangaa.

Nenda new Holland utapata kwa 30m na vifaa vyake!
 
Ndugu hiyo bei !!!

Zunguka jijini ulizia bei ya tractor jipya kabisa kama hilo na jembe lake utashangaa.

Kiongozi hyo bei inapungua kabisa ilamradi mtu awe serious ..... njoo tuzungumze kama ni muhitaji ndg yangu
 
Nenda new Holland utapata kwa 30m na vifaa vyake!

New holanda lazma uwe na 40m kupanda juu ukitaka trecta ya kawaida na jembe lake
 
Back
Top Bottom