Trekta aina ya Massey Ferguson 165 linauzwa, ipo katika hali nzuri

dmatemu

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
956
549
Trekta Massey Ferguson 165 iko kwenye hali nzuri.

Massey Ferguson MF 165
Year of Manufacture 1982
Engine ni PERKINS 3.5L
4- Cylinders
Diesel Engine
HP 58
Condition: Used abroad
Bei: 23'000'000 + usajili

Ipo Ubungo, Dar Es Salaam.

Kwa mawasiliano
0623-600 649 (Whatsapp)
0746- 824 793

IMG-20210121-WA0030.jpg
IMG-20210121-WA0031.jpg
IMG-20210121-WA0040.jpg
 
Daaah trekta ina miaka 40 halafu inauzwa hiyo bei??
Sasa ile yng imetengenezwa 1998 nitauza 50,mil kabsaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom