Jamani wakuu mi nna tatizo kubwa la fungus, ni la siku nyingi sana, nakumbuka nimeli note kwa mara ya kwanza wakati niko darasa la tano, back in 1998. Nimekuwa wakati fulani zikizidi nikienda hospitali na kuwa prescribed na dawa lakini nothing has changed.
Though kwa sasa hazinisumbui kwa maana ya kuwashwa labda na kuchubuka mikononi, maana miaka hiyo nilipokuwa sekondari mpaka nilikuwa naficha viganja vya mikono wenzangu wasivione, jinsi inavyotoka ngozi, japokuwa miguuni bado infections zaonekana, ila hili sasa nimelichukua kama part and parcell of my life! Wadau msaada, ushauri.............
Halafu yaani ni kama niko tofauti na wengine kwenye swala la mwili kunuka, yaani niko campus na rafiki yangu yeye nguo anabadilisha jumapili asubuhi akiwa anaenda kanisani kubadilisha tena mpaka jumapili nyingine lakini humsikii(kuhisi) akinuka, mi nguo siku ya pili tu kosa, na nilivo mvivu kufua, kuvaa nguo siku moja siwezi.
Au kuna relation kati ya fungus na kunaka mwili. Yaani....
Halafu kitu kingine mi mvivu sana and i dont seem to care, kunaweza kuwa na lecture mi nisiuzurie bila sababu ya msingi, lecture anaweza akawa anafundisha mi nikatoka tu alafu nkaenda kulala room, japokuwa niko mwaka wa mwisho chuo na sijawahi kufanya supplementary lakini hili linanitesa sana ndani, yaani natamani kubadilika lakini nashindwa, nikibadilika siku ya kwanza, ya pili ya tatu yale yale, napenda sana kulala lakini sidhani kama naumwa ugonjwa wa usingini.
Nakumbuka wakati niko primary nilikuwa very smart kwa maana ya kufuata timetable, lkn sasa mhhh mpaka nakereka!
Wakuu msaada tafadhali