TREAT EACH DAY AS YOUR LAST DAY!!!

mkaamweusi

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
614
802
"kila siku inapofika mikononi mwako ifanye kama ndio siku yako ya mwisho katika dunia"
Hii inamaana gani,maana steve jobs mbunifu wa model ya apple devices,alipenda kuitumia na je,ina mchango gani katika kumfanya mwanadamu awe na maishe yenye mashiko?
 
ALIKUWA ANAMAANISHA KUWA ITUMIE VEMA SIKU YAKO MAANA INAWEZA KUWA NI SIKU PEKEE ULIYOBAKI NAYO.Iwe kisiasa,kiuchumi,kijamii,kidini,n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom