Treasury Registrar’s salaries Circular No. 6 of 2015

Treasury Registrar’s salaries Circular No. 6 of 2015

GUNDA1995

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Habari wakuu
naomba kufahamu hii Treasury Registrar’s salaries Circular No. 6 of 2015 ndio kiasi gani kwa mwezi?
 
Hizo ni salary zinatumika kwa taasisi na haina kiasi,inshort anakwambia kua mshahara wako atarefer kwenye hio circular with in hio circular ndio kuna viwango mbalimbali vya mshahara kulingana na elimu yako na experience

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom