kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 7,629
- 7,395
Shukrani kwa hii tag mkuu, kwa katikati ya mwaka mimi binafsi ni ngumu kusafari nje ya nchi kwa safari binafsi. Lakini nipo hapa pamoja na wadau wote wa safari.
Shukrani kwa hii tag mkuu, kwa katikati ya mwaka mimi binafsi ni ngumu kusafari nje ya nchi kwa safari binafsi. Lakini nipo hapa pamoja na wadau wote wa safari.
Best nataka sana, tatizo mfuko hauruhusu kwa sasa.Ndio hivyo besty.
Wewe hutaki kusafiri??
Mwambie huyo uliemuibia jina agharamie.Best nataka sana, tatizo mfuko hauruhusu kwa sasa.
U know,mi ni mpenz sana wa kusafiri kinachonikwamisha ni uchumiAiseeeeee????
Ni nini mbaya??
Considering umetoka Turkey juzi tu, understandable kabisa broShukrani kwa hii tag mkuu, kwa katikati ya mwaka mimi binafsi ni ngumu kusafari nje ya nchi kwa safari binafsi. Lakini nipo hapa pamoja na wadau wote wa safari.
YuppDurban- SA???
Naelewa sana besty.Best nataka sana, tatizo mfuko hauruhusu kwa sasa.
Nani huyo???Mwambie huyo uliemuibia jina agharamie.
Uchumi inabidi ufosi baadhi ya mambo my friend.U know,mi ni mpenz sana wa kusafiri kinachonikwamisha ni uchumi
That's good.Yupp
I thought I was the only one. SA imenikaliaga kushoto sana. But I will face my demons, some day yes.S.A haijawahi kuwa kwenye bucket list yangu kabisa.
Labda siku ntakayoenda kuchukua gari (may be).
Wanataka PCR negative certificate.Hivi S.A kuingia hawataki cheti Cha chanjo ya KORONA?
Ako na majukumu mengi sana kwa sasa.Mwambie huyo uliemuibia jina agharamie.
Kwasasa bado kuna mambo yananitinga mkuu.Wewe hutaki kusafiri mkuu???
Nasubiri na jibu la karucee
Yaani ukisave elfu kumi tu kwa siku umetokaUchumi inabidi ufosi baadhi ya mambo my friend.
Remember we discussed ile ya Egypt??? I made it you know???
Duh!Yaani ukisave elfu kumi tu kwa siku umetoka
Nendeni tu, mtatusimulia. Mpige picha za kutosha.Naelewa sana besty.
Na ndio maana nkaona niwaeleze wadau kuhusu hii safari nyepesi na nafuu.
You know some things inabidi ufosi kuzifanya