Travelling Partners Part two (2)

Hii safari nzuri sema mkiwa wengi sana itakuwa tabu kwenye kuzunguka huko S.A

Ajitokeze Mdada mmoja mzuri nimlipie usafiri pia hata kulala asijali ntakuwa nalala nae kwasiku zote huko S.A. 😆😆😅
 
Basi next year mkuu Mungu akituweka ila nina imani by 2023 nitakuwa nimeenda mbali mno
Yes!

There is always next time, kikubwa ni kuweka malengo na kuyafanyia kazi. Nimeelewa kwenye huu uzi kwamba watu wanashindwa kufanyia kazi malengo yao.
 
S.A haijawahi kuwa kwenye bucket list yangu kabisa.

Labda siku ntakayoenda kuchukua gari (may be).
S.A is worthy visiting.

Was my third country to visit and it's a place I could go back.

Hapa lengo ni kujaribu kushajihisha watu maana ninaposafiri then watu wengi huniuliza nimewezaje nimewezaje.

Na nimeiweka June because kwenye miezi ya mwisho wa mwaka probably ntakuwa na trip yangu na family huko mbali mbali
 
Hii safari nzuri sema mkiwa wengi sana itakuwa tabu kwenye kuzunguka huko S.A

Ajitokeze Mdada mmoja mzuri nimlipie usafiri pia hata kulala asijali ntakuwa nalala nae kwasiku zote huko S.A. 😆😆😅
Sometimes mkiwa wengi ndio inakuwa fun.
 
S.A is worthy visiting.

Was my third country to visit and it's a place I could go back.

Hapa lengo ni kujaribu kushajihisha watu maana ninaposafiri then watu wengi huniuliza nimewezaje nimewezaje.

Na nimeiweka June because kwenye miezi ya mwisho wa mwaka probably ntakuwa na trip yangu na family huko mbali mbali
Issue ya xenophobia imenifanya niwaone wasouth watu makatili sana.

Sidhani kama ntajiona nipo salama 100% nikiwa nchi kama hii.
 
Back
Top Bottom