Gharama za Travel Insurance

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
807
805
Nahitaji kusafiri kwenda nchI kadhaa kwa siku 18.

Nitasafiri kwa ndege na kwa meli.

Nimeambiwa niandae Travel Insurance.

Hii ikoje, umuhimu wake, inakopatikana na gharama zake.

Karibuni mnijuze.
 
Inategemea na airline, inaanzia USD 50 kama sikosei.

Na kama hujui maana ya insurance Mimi sina namna ya kukusaidia labda uliza NHIF au wenye magari kwa nini wanakata insurance.
 
Back
Top Bottom