TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

Kweli kama pale CRDB umeona palivyokaa mkuu?!

Ukabila, Udini n.k,

Anyway nitakubaliana nawe baada ya Mkuu kufanya uteuzi wake,
Ndipo ntajua ulikuwa unamaanisha nini...!

Kwa sasa nakuacha kiporo.
Funguka mkuu usijekula vilivyo chacha, hii fact ya kubalance pande za muungano mambo yanapokua magumu haina tija kwa taifa hili,tuangalie output ya mtu,anaweza kudeliver nini kutufikisha tunapotaka??
Thats enough.
 
Funguka mkuu usijekula vilivyo chacha, hii fact ya kubalance pande za muungano mambo yanapokua magumu haina tija kwa taifa hili,tuangalie output ya mtu,anaweza kudeliver nini kutufikisha tunapotaka??
Thats enough.

Nakubaliana nawe mkuu,
Shida ipo katika maadili na imani ambazo zimeishawajaa Watanzania tulio wengi kwamba UDINI, UKABILA na sasa imezidi UKANDA,

Mbaya zaidi baadhi ya wajinga ambao ndo watuhumiwa wanajifakharisha kuwa SISI ni WASOMI ndo maana tumejaa maofisini na anakupa mifano anakuambia kama CRDB, TRA n.k

Ukifanya hitimisho utajakuta yote hayo chanzo chake ni KUKOSEKANA KWA MAADILI NA KHOFU YA MUNGU.
 
Nakubaliana nawe mkuu,
Shida ipo katika maadili na imani ambazo zimeishawajaa Watanzania tulio wengi kwamba UDINI, UKABILA na sasa imezidi UKANDA,

Mbaya zaidi baadhi ya wajinga ambao ndo watuhumiwa wanajifakharisha kuwa SISI ni WASOMI ndo maana tumejaa maofisini na anakupa mifano anakuambia kama CRDB, TRA n.k

Ukifanya hitimisho utajakuta yote hayo chanzo chake ni KUKOSEKANA KWA MAADILI NA KHOFU YA MUNGU.
Harufu ya ukanda, udini ,ukabila nk kopo lake wanalo wafanya siasa wachovu mambo yanapowagomeaga hulitumia kujustify divide and rule na sie tusivyo jiongeza hujikwaa kwenye huu mkenge.
Tungeshaa muumbua mmoja wangeshaacha zamani , anyway tumsubirie mzee mkubwa tuone atatoka na nani?
 
Basi walimu wangu na mimi nawapendekeza DR Mohammed na Dr Kihanda wa IFM :happy:

Dr. Immanuel Mzanva is best for the post, ningempendekeza Prof. Jairo ila nadhani Prof umri umeenda compared na Dr. Mzanva. Hao uliowataja ni wasanii kidogo japo upstairs ni wazuri.
 
Harufu ya ukanda, udini ,ukabila nk kopo lake wanalo wafanya siasa wachovu mambo yanapowagomeaga hulitumia kujustify divide and rule na sie tusivyo jiongeza hujikwaa kwenye huu mkenge.
Tungeshaa muumbua mmoja wangeshaacha zamani , anyway tumsubirie mzee mkubwa tuone atatoka na nani?

Mzee kubwa haropoki wala hateui peke yake, yupo na washauri wake na nnaamini washauri waishaandaa majina/watu wao na wanasubiri yeye aje kubariki
 
Swali dogo la nyongeza: Dr Dau ana umri gani? (hajakaribia kustaafu na yeye?)

Blandina hana uwezo wa kuhimili ofisi hii muhimu. Hata hivyo ningependa ofisi nyeti kama hii mkuu wake awe anathibitishwa na kamati ya bunge (through a public hearing). Katiba mpya!

ni kwli mkuu. napenda Kenya wanavyofanya maana nafasi muhimu kama hizi watu wanafanyiwa vetting tena live watu wakiona kwenye tv!
 
Kwa kweli nyoni hakustahili hata kuonekana kwenye public service kwa madudu alofanya pale wizara ya afya, kama sio siasa za kubebana angestahili kuona aibu kusimama au kusimamishwa kwa nafasi kama hiyo. Endapo kweli atapewa nafasi iyo tz itaendelea kuwa nchi ya maajabu. Bado kuna nafasi kwa walokuwa waandamizi wa kitilya kuchukua nafas iyo, nadhani ni busara zaid kuliko kuchukua mwanasiasa ndo unampeleka huko
 
Kuna mchezo mchafu anafanya Mzee Luhanjo pale Ikulu wa kuhakikisha wahehe wanachukua nafasi za juu nyingi kabla haja staafu. Kwa haraka haraka teuzi za karibuni zenye mrengo wa Iringa ni pamoja na Mfugale DG Tanroads, Eliud Sanga DG LAPF, Msechu DG National Housing tena huyo Msechu ni mtoto wa dada yake kabisaaa mtu na mjomba wake hao. Kibaya zaidi hata interview hakufanya (rejea thread ya DG wa NHC.

Hivyo basi piga ua huyo Dau msindikizaji tu hapo nafasi ya Mama Nyoni kwa kuwa tu ni Mhehe!. Mzee Luhanjo unatupeleka siko chonde chonde jamani hapo TRA wapo ma kamishna wenye rekodi nzuri tu wapeni hao au kwa kuwa hakuna mhehe?

Asante kwa taarifa glory
 

Wakristo nafasi zote mnataka kushika nyie na mbaya zaidimnaongoza kwa wizi kuanzia kwa mawaziri mpaka kwa makatibu wakuu.Hapo ndipoNapata swali na jibu lake "kwanini Tanzania nimasikini jibu ni kwamba wakristo ndio wameifanya Tanzania kuwa masikini"

TANESCO

1 Kaimu MkurugenziMtendaji Felchesmi Mramba Mkristo
2 Meneja Mkuu waMasoko Godwin Mnzava Mkristo
3 Meneja Mkuu waUsambazaji Decklan Mhaiki Mkristo
4 Mwanasheria waShirika Godson Makia Mkristo
5 Mkuu wa Idara yaFedha Eng. John Kabadi Mkristo
6 Meneja Mkuu waUzalishaji Boniface Njombe Mkristo
7 Mkuu waKompyuta SalomeNkondola Mkristo
8 Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Hesabu Bibi ZeliaNjeza Mkristo
Kama mnaweza kuua monopoly company kama hii na managementyote mpo wenyewe tu mtashindwaje sehemu zingine.
 
Tanzania ina watanzania zaidi ya laki moja ambao wako eligible for such post WHAT MAKES YOU CONSIDER ONLY TWO?
Ama kweli mwenye nacho ataongezewa.
 
Wananeti

Hivi hatuwezi kujadli mada mpak tutie mambo ya udini? Hebu tujiulize tokea tumejadili mambo ya udini hapa barazani je udini umepungua bongo? tumepata tija gani
 
Pale TRA kuna mtu mmoja anaitwa Kamugisha alishawahi kuwa Director of Research and Policy pale huyu jamaa ni very smart guy, competent lakini amekuwa aklpigwa zengwe kwa ajili ya maslahi ya watu binafsi, nchi hatutofika kabisa
Hata mm uyu mzee namfahamu n mtunga sera mzuri sana, ukitaka kujua utendaji wake ulizia watu wa Hazina pale ndo alikuwa mtunga sera hapo, ila baada ya utawala mpya akapigwa zengwe na kurudishwa TRA, ILA MAMBO yalipoanza kwenda sivyo na nchi kuishiwa akarudishwa tena Hazina kuokoa jaazi, ila yuko very smart.
 
Tatizo ni mdini sana

Kwa vile unataka kila mtu awe mlevi mzinzi na asiende msikitini?
Dr. Dau sifa zake na uwezo wake unajulikana wazi. Na ni maadili yake ya Ki-Islam yanayomfanya awe na utendaje wa haki na uadilifu....

Having said that.
Mtazungumzaaaaaa lakini next boss wa TRA ni kijana mdogo tu, muadilifu, msomi na mtendaji wa kweli
RISHED BADE....
Watch this name.
 
DAR ES SALAAM: THE Commissioner General for Tanzania Revenue Authority, Harry Kitilya, is about to retire from public service, but his replacement is yet to be confirmed.

Ingekuwa mimi ningependekeza Rished Bade.Ni kijana msomi,serious katika kazi na kichwa chake kizuri sasa hivi ni Deputy Commissioner General pale Tanzania Revenue Authority .Nadhani kijana akipewa anaweza leta mageuzi makubwa pale.Wazee nawaheshimu lakini post ya kuumiza kichwa kama TRA nafikiri vizuri akabidhiwe huyo kijana anaweza tumikia kwa nguvu muda mrefu kuliko kupeleka mtu pale kabakiza muda mchache tu kustaafu umri umeenda analala mezani na kuamka akiwaza maisha yake ya kustaafu yaliVyokaribia badala ya kuweka mikakati ya kuitoa TRA.Ni mawazo yangu.
 
Hebu tuwe Fair kidogo JK kawapa nafasi wale wote waliokaimu sehemu ambazo ama wakurugenzi/makatibu wamestaafu au kujiuzuru isipokuwa sehemu kama bandari tunamsubiri amuidhinishe KIPANDE.Na kwa TRA ampe Rished Bade.ampe kwa sababu ni mjuzi wa kazi kuliko wengine, pia ni mzuri katika kuleta changes.
 
Back
Top Bottom