Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,085
- 2,591
- Thread starter
- #501
Yaani hapa ni kutwanga maji kwenye kinu, kabla ya kuleta uzi alishafanya maamuzi, hapa alikuwa anahitaji apate watu wambariki uamuzi wake, kama hawa wachache wafanyavyo



sijui kwanini nimetokea kukupenda bureHuwezi amini nipo tofauti na unachokisema na kukifikiria
Although I sound naive and lost,ila nina akili zangu timamu tu na nikivuka hiki kistage nitakuja na update
Msichoke kunishauri



mkuu!
