Trans woman ni aliyezaliwa mwanaume na akafanya surgery na kua mwanamke,
huyu atabadili muonekano wa nje na ataweza kubadili muonekano wa ndani kwa maana ya uume kua uke au akaacha uume wake kama ulivyo hawezi kupata period wala kubeba mimba sababu hana ovary wala uterus kiufupi maumbile yake ya ndani kabisa ni mwanaume.
BTW, Nimesikia Sweden wameanza kuwawekea Uterus na Ovary na imefanikiwa.
Trans Man ni mwanaume aliyezaliwa mwanamke na akafanya surgery na kua mwanaume,
huyu atabadili muonekano wake wa nje na anaweza kupata mimba sababu via vya uzazi ni vya mwanamke.
Wote hao wanakua kwenye label moja ya Transgender.