cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,774
- 5,312
Unachokitafuta [emoji533] utakipata nyau wee[emoji23][emoji23] sawa dada bob
Unachokitafuta [emoji533] utakipata nyau wee[emoji23][emoji23] sawa dada bob
[emoji848][emoji848][emoji848]aah kumbe nilishakuandalia biringanya hapo nikudobekejee ndotoni[emoji23][emoji23][emoji23] nyau mwenyewe
Sijamaanisha dada Bob wewe..nilisahihisha bod shoga kua dada bob
Itakuwa hivo mkuu vinginevyo wasingejibadilisha
Kumbeee! Nilijua amebadilisha nje nje kumbe Hadi mshedede! Ila wanaume mnatuonea wivu Sana mnaona tunafaidi
Hapo sijui mkuuMUNGU fundi.
Vipi wanamuwekea na bikra?
Atazaa?atapata hedhi?
Unaambiwa mamtoni hakishindikani kituNahisi ila najiuliza wamefanyajefanyaje[emoji134]
Kuna couple niliona YouTube mwanamke wa Sasa alizaliwa mwanaume na mwanaume wa Sasa alizaliwa mwanamke ndio walikua kwenye process ya ndoa..dah!Mamtoni unaweza ukaona demu mkaaali ukavamia unaweza ukavaba kumbe ni dume limejibadilisha dadeeki
Dah hatari sana..sasa kwa mwanamke, wanamuwakaje mzeebaba "abdallah kichwa wazi" kule afrika kusini na akawa anasimama kama kawaidaKuna couple niliona YouTube mwanamke wa Sasa alizaliwa mwanaume na mwanaume wa Sasa alizaliwa mwanamke ndio walikua kwenye process ya ndoa..dah!