Kangekuwa keusi kangependeza zaidiKazuri mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu inamaana kariba yako ni fb peke yake?
Nahisi ila najiuliza wamefanyajefanyaje[emoji134]
Labda uangalie hapa utapata idea
Mm ukinikosa hapa jua nipo fb nasoma habari na kushangaa picha
watanzania wakike wengi ni jauangebaki hivo wa kiume akaja bongo angepata sana mademu,
Duuuh!