Transfoma ya Chalinze yahamishiwa Dar kupunguza makali ya mgao


kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
3,073
Likes
23
Points
135
Age
42
kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
3,073 23 135
UTOKANA na mgao wa umeme unaoendelea hivi sasa, Wizara ya nishati imechukua uamuzi wa kuhamisha transifoma
kutoka Chalinze ili ije itumike jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupunguza makali ya mgao wa umeme.
Tayari wizara hiyo imeshaagiza wakandarasi wa shirika la umeme kuhamisha transfoma hiyo ije jijini Dar es Salaam ifungwe katika kituo cha Kipawa na iwashwe kwa madhumuni ya kupunguza makali ya mgao wa umeme.

Wizara hiyo imetoa siku nane shughuli za ufungaji transofoma hiyo umalizike.

Transfoma hiyo imechukuliwa kutoka Chalinze ilikuwa ni ya mradi mwingine wa kuboresha umeme katika mikoa ya Pwani,Tanga, Mwanza na Shinyanga.

Bw. Abdulah Feresh, Meneja Mwandamizi wa Udhibiti Mifumo na Njia Kuu za Umeme alisema kwa muda huo uliotolewa wataweza kumaliza kazi hiyo kwa kuwa watahakikisha wanafanya kazi kwa saa 24 kila siku.
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,224
Likes
7,041
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,224 7,041 280
Kutowa kifungo cha shati kuweka kwenye suruali hakuondoi kuwa uchi
 
kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
3,073
Likes
23
Points
135
Age
42
kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
3,073 23 135
Pesa zimeisha kwenye mabango ya uchaguzi.
mbona watu tunalipia umeme kila mwezi inakuwaje waseme hawana mawe na wakati gharama zipo juu sana za umeme hv pesa yote inakwenda wapi!!nchi hii sijui tumelaaniwa!
 

Forum statistics

Threads 1,235,516
Members 474,633
Posts 29,225,425