Transfer Window 2014/2015, Special thread

Transfer Window 2014/2015, Special thread

Golikipa anayetisha kwenye Kombe la Dunia mMexico Guillermo Ochoa (28) sasa yuko kwenye mazungumzo ya kujiunga na Barcelona. Timu za EPL zimeambiwa zisipoteze muda kumfuatilia.
View attachment 165750
 
AC Milan imesema Balotelli haondoki bila Arsenal kumwaga mezani kitita cha £29.5m. Arsenal ilitangaza dau la £25m.
 
Barcelona imetenga kitita cha £70m ili kumng'oa Luis Suarez kutoka Liverpool.
 
Joleon Lescott (31) ameondoka ManCity na kujiunga na West Brom kama mchezaji huru baada ya kukosa mkataba mpya. Ameichezea ManCity kwa miaka 5.
 
Wenger anataka kupandisha pressure kumchukua ballotel ni bola angetazama washambuliaji wengine kuliko huyu mtukutu.
 
Kulingana na taarifa kutoka mtandao wa sky sports kuna taarifa kuwa timu ya manchester united inakaribia kukamilisha dili la kumsajili ANDER HERRERA kutoka klabu ya athletuc bilbao kwa ada ya 28£ more news to follow
 


Manchester United will sign Athletic Bilbao midfielder Ander Herrera for £28m TODAY



  • 24-year-old's agent is currently negotiating a deal in London
  • United will offer him four-year contract worth £50,000 a week
  • United previously tried to sign Spanish international last summer
  • Herrera is Louis van Gaal's first signing as United manager


article-2666823-1F0FFAC800000578-734_634x451.jpg
 
Barcelona imesema bado inamuhitaji 'VAMPIRE' Luis Suarez, na imetenga dau la £80m katika dili litakalohusisha Liverpool kupewa fedha na wachezaji wawili - Alexis Sanchez (25) na Pedro (26).
 
Mzee Wenger amesema HANA MPANGO na mshambuliaji mtata wa AC Milan Mario Balotelli (23) kwani anaye kinda anayetisha Joel Campbell ambaye anarudi klabuni msimu ujao.
Campbell.PNG

AC Milan imesema inataka kupunguza mzigo wa gharama za mishahara kufuatia msimu mbaya. Lakini inataka kitita cha £29.5m kumwachia Balotelli.
 
Suarez na Barca mmmmh hapa naona ni noma sana jamaa anajua kuchana nyavu
 
Kiungo wa Athelic Bilbao Ander Herrera (25) anakamilisha uhamisho wa kutua ManUtd kwa dau la £28.4m. Herrera anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 5 na mshahara mara 2 ya ule wa Bilbao.
 
nani huyu

Joseph Minala has been cleared to resume his career after proving he's not a 42-year-old masquerading as a youth team player.That led to an official investigation which saw him questioned by the league's federal prosecutor.

article-2558313-1B72BDB800000578-214_634x417.jpg
 
Ule mpango wa Mario Balotelli (23) kwenda Arsenal UMEZIKWA rasmi baada ya CEO wa Ac Milan Adriano Galliani kutangaza kwamba Balo HAENDI POPOTE.
 
Hatimaye beki kinda Luke Shaw (19) amesajiliwa na ManUtd kwa dau la £27m. Luke Shaw anakuwa kinda ghali zaidi ndani ya EPL, na beki wa 4 ghali zaidi duniani. (Mambo ya UK)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom