Kulingana na waraka wa katibu mkuu km mkuu wa taasisi hatapitisha kwa wakati mpka imeenda next stage itahesabika kwamba Ombi hilo amelilizia. Kwahy hapo kuwa na amani
Kwangu bado.Kwakwel ila wameandika APPROVED au bado iko your transfer approval status PO-PSMGG
Mkuu hongera aisee tangu liniHuwa inaandikwa GRANTED kutokana na Uzoefu wa watu waliovumilia kusubiri kama sisi hadi kupata vibali
I
Oooh kumbe ahsante! Hongera kwa uvumilivu, ko barua inatola mule mule katika mfumo au physically?Huwa inaandikwa GRANTED kutokana na Uzoefu wa watu waliovumilia kusubiri kama sisi hadi kupata vibali
I
Hivi sijaeleweka Nini..! Mimi sijapata kibali mkuu but nimejaribu kuweka sawa kuwa ombi likikubaliwa inaandikwa GRANTED na sio Approved, nikaongeza kuwa ushuhuda huu ni kutoka na watu waliopata vibali japo nao walisubiri sana kama tunavyosubiri sisi hapa. Ina maana na Mimi ni miongoni mwa wale wanaosubiria vibaliMkuu hongera aisee tangu lini
Mkuu ombi lako si linaenda miezi 7 sasa..?Kwangu bado.
Good 👍Hivi sijaeleweka Nini..! Mimi sijapata kibali mkuu but nimejaribu kuweka sawa kuwa ombi likikubaliwa inaandikwa GRANTED na sio Approved, nikaongeza kuwa ushuhuda huu ni kutoka na watu waliopata vibali japo nao walisubiri sana kama tunavyosubiri sisi hapa. Ina maana na Mimi ni miongoni mwa wale wanaosubiria vibali
Mwinyimadi
Ndiyo mkuu. Bado navumilia na kuvuta subira.Mkuu ombi lako si linaenda miezi 7 sasa..?
Huwa nikiona watu kama wewe unasubiri kibali miezi 7 sasa.. Mimi langu lina wiki 4 nachoka kabisa🥲
Mimi pia natamani lisifike hata miezi miwili, nipate kibali.Mkuu ombi lako si linaenda miezi 7 sasa..?
Huwa nikiona watu kama wewe unasubiri kibali miezi 7 sasa.. Mimi langu lina wiki 4 nachoka kabisa🥲
Tutafika tukiwa tumechoka saaanaNdiyo mkuu. Bado navumilia na kuvuta subira.
Tutafika tukiwa tumechoka saaanaNdiyo mkuu. Bado navumilia na kuvuta subira.
Amin. Mungu atende wote tupate vibali.Mimi pia natamani lisifike hata miezi miwili, nipate kibali.
Tuendelee kuwa wavumilivu, maana naingia kwenye ESS kama dose kutwa mara 3 .
😁Umetisha mkuuMimi pia natamani lisifike hata miezi miwili, nipate kibali.
Tuendelee kuwa wavumilivu, maana naingia kwenye ESS kama dose kutwa mara 3 .
miezi 7 kiongozi UTUMISHI au TAMISEMI,kama TAMISEMI sawa ila utumishi mh ebu angalia vizuriNdiyo mkuu. Bado navumilia na kuvuta subira.
UTUMISHI. Nieleze cha kuangaliamiezi 7 kiongozi UTUMISHI au TAMISEMI,kama TAMISEMI sawa ila utumishi mh ebu angalia vizuri
hapo nahisi lazima kutakuwa na changamoto,kuna watu waliomba may,na walipata vibali kabla ya mwaka wa feza,uwezi jua kuna comments gani au maoni ganiUTUMISHI. Nieleze cha kuangalia
Kwa kweli hiyo time interval inaogofya. Hebu jaribu kuzama Utumishi kabisa Dodoma. Hiyo miezi simu haifai kabisa nenda Utumishi physicallyUTUMISHI. Nieleze cha kuangalia
Aisee kazi ipo.hapo nahisi lazima kutakuwa na changamoto,kuna watu waliomba may,na walipata vibali kabla ya mwaka wa feza,uwezi jua kuna comments gani au maoni gani
Si anasema hawajajibu chochote hivyo hawezi ona comments yoyotehapo nahisi lazima kutakuwa na changamoto,kuna watu waliomba may,na walipata vibali kabla ya mwaka wa feza,uwezi jua kuna comments gani au maoni gani