Transfer vacancy request at ESS Utumishi

Ahsante mkuu, umenitia moyo sana.
 
Umeomba Taasisi gani mkuu, nasikia kuna Taasisi zilifunguliwa mfumo mwanzoni wa July hii.. zile nafasi wamezishambulia watu kupitia Vacancy request na sasa zimeisha hata ukiomba vacancy unaambiwa Vacancy already filled au Vacancy not budgeted
Mkuu hizo ndio zilizotenga nafasi ya kuhami kwa mwaka huu,kwengine kote mfumo wameufunga yani ni yafran.
 
Imeenda kwa destination organization tayari,,, hivi Sasa inaenda yenyewe kwahy inaandika Nini kwenye huo mfumo? Mana mdimamizi wa KAZI hajatia neno ko imeenda mbele yenyewe? Ebu nipe experience kaka
uwezekano upo kwa 100% kupata maana kimya maana yake ni wamekubali we uendelee na taratibu
 
uwezekano upo kwa 100% kupata maana kimya maana yake ni wamekubali we uendelee na taratibu
Samahani mkuu naomba nikuulize, kama ulivyosema kuwa we ni mkufunzi wa huu mfumo toka kipindi unaanza, sasa naomba kufahamu hivi huu mfumo hauwezi kutoa barua kidigital, kwa maana wana-accept kwenye kiunganishi cha kukubali ombi then barua inajidrafti auto na kukakaa kwenye ESS ya muhusika ili kuharakisha mchakato..?
 
Je, kuna hali ya kutoboa kwa maombi ambayo yamekaa muda zaidi ya miezi 5 utumishi?
 
Je, kuna hali ya kutoboa kwa maombi ambayo yamekaa muda zaidi ya miezi 5 utumishi?
Mkuu, hii comment akiiona Liverpool VPN ataweweseka kabisa.. maana ombi lake limefika Utumishi mwezi huu na ana mzuka wa kuhamia huko kwenye Maokoto manene🤣
 
Mkuu, hii comment akiiona Liverpool VPN ataweweseka kabisa.. maana ombi lake limefika Utumishi mwezi huu na ana mzuka wa kuhamia huko kwenye Maokoto manene🤣
Hii dunia kila mtu na jini lakeee...
Kuna mtu kahama mwezi huu huko kwetu ombi lake lilikaa utumishi siku 20 na ya 21 wakamjibu.
Na baada kama siku 10 akapokea barua.

Hii dunia kila mtu na BAHATI YAKE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wallahi sijakuelewa
 
Kumbe wanaanza kujibu kwanza then baada ya siku kadhaa wanaweka na barua..!!
 
Hii dunia kila mtu na jini lakeee...
Kuna mtu kahama mwezi huu huko kwetu ombi lake lilikaa utumishi siku 20 na ya 21 wakamjibu.
Na baada kama siku 10 akapokea barua.

Hii dunia kila mtu na BAHATI YAKE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Wanajibu kvp
 
Huwa inaandikwa GRANTED kutokana na Uzoefu wa watu waliovumilia kusubiri kama sisi hadi kupata vibali
Kwakwel ila wameandika APPROVED au bado iko your transfer approval status PO-PSMGG
I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…