Hawa watu hakuna kitu wanaelewa na ni wakali balaaMaswali haya cha ajabu ni kwamba hakunaga anayejibu yaani kila mtu hajui
Huu mfumo jau sana maafisa wahusika nao ukiwauliza kitu wanatupiana mpira tu ni kama nao hawaelewi kitu au kama wanaelewa basi hawana msaada maana kila kitu tunafundishana wenyewe tu
Hiyo ni changamoto ya makusudiNyie hamkutani na jini vacancy not budgeted?
Mana kila taasisi ni hivyo
Hujui utumishi walikata barua,wanadai kila kitu kwenye mfumo.Andika barua kuulizia nafasi unapotaka kwenda wakikubali ambatanisha barua ya kukubaliwa nafasi kwenye transfer request case closed.
UTUMISHI DR Mambo Jambomaombi yamefikia wapi?
Umeomba Taasisi gani mkuu, nasikia kuna Taasisi zilifunguliwa mfumo mwanzoni wa July hii.. zile nafasi wamezishambulia watu kupitia Vacancy request na sasa zimeisha hata ukiomba vacancy unaambiwa Vacancy already filled au Vacancy not budgetedNyie hamkutani na jini vacancy not budgeted?
Mana kila taasisi ni hivyo
Hii Iko sawa, ila hata kama ukipewa barua hiyo ya nafasi kama nafasi hiyo hajawekwa kwenye mfumo itakuletea tu Vacancy not budgeted.Andika barua kuulizia nafasi unapotaka kwenda wakikubali ambatanisha barua ya kukubaliwa nafasi kwenye transfer request case closed.
Mmmh una experience na iko kitu coz mm Leo ni siku ya 14 haijaenda mbele bado IPO ktk taasisi yangu?YEAH, kabisa kuna idadi ya siku mfumo unasoma zikipita zile siku mfumo unasogeza maombi kwa hatua inayofuata
Unaufahamu mfumo?Vacancy request, ni request ya kuulizia nafasi kama ipo unapotaka kwenda, na siyo request ya kuomba kuhama ili kuhamia.
Iko kwa nani?Mmmh una experience na iko kitu coz mm Leo ni siku ya 14 haijaenda mbele bado IPO ktk taasisi yangu?
Kama iko Utumishi hapo sasa ni kufatilia utumishi ikiwezekana kuwatafuta kwa simu....Utumishi huwa kuna kama kamkwamo kutokana na maombi mengi sanaUTUMISHI DR Mambo Jambo
Kazi ipo hapaKama iko Utumishi hapo sasa ni kufatilia utumishi ikiwezekana kuwatafuta kwa simu....Utumishi huwa kuna kama kamkwamo kutokana na maombi mengi sana
Imeenda kwa destination organization tayari,,, hivi Sasa inaenda yenyewe kwahy inaandika Nini kwenye huo mfumo? Mana mdimamizi wa KAZI hajatia neno ko imeenda mbele yenyewe? Ebu nipe experience kakaIko kwa nani?
Dr naomba maelekezo hapa, kutokana na mfumo ku accept automatically baada ya muda kupita, sasa kama institution unayotaka kwenda ime accept automatically, na comment inaonesha kuwa accepted automatically bila approval ya hiyo institution...Unaufahamu mfumo?
mimi ni Mkufunzi wa Mfumo na naujua mfumo na najua hata vacancy Request ni nini!
labda nikukumbushe taratibu za kuandika vacancy request kwa njai ya barua ya kawaida kwa sisi tuliokuwa serikalini kwa muda mrefu unazikumbuka?
huwezi kuandika barua nje ya Mkoa au nje ya taasisi au Nje ya wilaya nyingine bila kutoa taarifa au kupitia kwa wasimamizi wa wilaya yako?
umewahi kuomba vacancy request ya kuhama bila kupita kwa Supervisor wako au HOD wako?
au Upo kwa ajili ya kubishana au unataka nikupe ushahidi??
ni Vizuri kama Hujui kitu uulize usiandike mihemko yako
Weka kwanza screenshot tuielewe vizuri then tukushauriDr naomba maelekezo hapa, kutokana na mfumo ku accept automatically baada ya muda kupita, sasa kama institution unayotaka kwenda ime accept automatically, na comment inaonesha kuwa accepted automatically bila approval ya hiyo institution...
Sasa swali langu, kwa kuwa mfumo baada ya hapo unaonesha kuendelea na transfer., na request ikifika mpaka utumishi...uwezekano wa kupata kibali upo?? Au ni ngumu kwa sababu ya Ile situation ya kuwa accepted automatically kwenye taasis unayotaka kwenda?
Baada ya kuomba vacancy kwenye institution ilikuja hivyo... then ukaanzishwa mchakato wa transfer, na ipo utumishi kwa sasaWeka kwanza screenshot tuielewe vizuri then tukushauri
Kulingana na waraka wa katibu mkuu km mkuu wa taasisi hatapitisha kwa wakati mpka imeenda next stage itahesabika kwamba Ombi hilo amelilizia. Kwahy hapo kuwa na amaniBaa
Baada ya kuomba vacancy kwenye institution ilikuja hivyo... then ukaanzishwa mchakato wa transfer, na ipo utumishi kwa sasa
Sawa sawa...Kulingana na waraka wa katibu mkuu km mkuu wa taasisi hatapitisha kwa wakati mpka imeenda next stage itahesabika kwamba Ombi hilo amelilizia. Kwahy hapo kuwa na amani
Baa
Baada ya kuomba vacancy kwenye institution ilikuja hivyo... then ukaanzishwa mchakato wa transfer, na ipo utumishi kwa sasa