Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Ccm inawauma sana, mtego wao wa kwanza ulikuwa ni kuhakikisha Mbowe hapiti uenyekiti, sasa baada ya kushindwa na chadema kuvuka mtego. Huo hasira zao zikahamia kuiunga mkono NCCR ili niwe chama kikuu cha upinzani, lakini napo wanapata shida kwa sababu chama hicho hakiwezi kujijenga muda uliobaki ni mxhche sana. Mbowe kinachomsaidia ni ushushu wake, vinginevyo angeshapoteza siku nyingi kabla ya hata Lissu