God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,790
- 3,020
Mkuu kupandisha zaid ya GB500 sio kitu kidogo nini kilifanya hiyo transcend ikaharibika??Sikushauri kabisa kuhifadhi kununua transcend imefia kifo cha natural death, sina hamu nayo, nimepoteza vitu vingi maana nilikuwa naifadhi kwenye hiyo external hard drive. Nunua Seagate na kama huto jali file zako muhimu fungua account nyingi iwezekanavyo google ili upate kuhifadhi cloud files naona kama ndiyo kuna usalama zaidi, kuliko hizo external hard drive, maana kuna kuibiwa, damages nk.
Natural death, inamaana ilijifia tu, hakuangua wala niseme nili plug arafu ikaover heat hapana. Nilikuwa nikimaliza kutumia na unplug, siku ilivyo kufa siku amini, asubuhi na plug nakuta haisomi, nikajaribu tena na tena wapi! nikajaribu kuzima computer na kuwasha, habari ikiwa vile vile. Nikampelekea jamaa mmoja tukabadirisha cable hadithi ikawa ile ile. Ndiyo ikawa mwisho wake. Kifupi imekufa kifo ambacho hata mimi kimenishangaza.[/QUOTE]TE="big gift, post: 19120140, member: 367083"]Mkuu kupandisha zaid ya GB500 sio kitu kidogo nini kilifanya hiyo transcend ikaharibika??
hivi mchina hajatengeneza feki hivi vitu?Kwa hard drive Chukua Seagate ama WD
That's inevitable kwani karibu vyote ikiwemo Original ni made in China ila zinakuwa na warrantyhivi mchina hajatengeneza feki hivi vitu?
aisee kama una maujanja nipe nniweze kutambua seagate au wd fake maana nataka ninunue hizo moja kati yakeThat's inevitable kwani karibu vyote ikiwemo Original ni made in China ila zinakuwa na warranty
kwa tanzania hii hiyo kmpuni iko wapi?hiyo ilokufa jaribu kwa linux. waweza pia peleka kwa kampuni zikarecover hizo data
jaribu kwa os tofauti mf linux na macHapana, nikajaribu kwenye computer tofauti ila zote ni windows OS
mkuu jifunze kitu kinaitwa RAID, unaweka HDD mbili kwa pamoja inakuwa HDD moja na kila kilicho kwenye hdd moja kinakuwa cloned na kuekwa hdd nyengine, hapa ikiharibika moja basi ya pili inakuwa na data zote, japo ni expensive sababu ni HDD mbili ila ni njia ya uhakika.
pia fahamu zile external ni internal zinavishwa cover hivyo unaweza kwenda dukani ukanunua mpya lets say 1tb kwa 100,000 ukaivisha cover.
Nimekusoma mkuu chief mkwawa thanks for info
brand nzuri mkuu ni Hitachi sema ni ngumu kuzipata bongo, kila siku nazikuta ndani ya thinkpad na nina laptop yenye hitachi toka 2011 ipo fresh pia survey mbali mbali online zinaonesha hivyo
toshiba, western digital na seagate pia wanajitahidi kiasi chao, tofauti na hapo hao wengine sifahamu
hdd hazitaki kugongwa gongwa usafiri wetu huu wa posta wakiipack vibaya tu ni tatizobasi mkuu sio mbaya nikaagiza ebay hiyo kitu hitachi au kwa website yao kama paypal yupo basi nitachukua kwao ili niwe na amani zaid nisijeuziwa clone