Trainings za Audit firms

Trainings za Audit firms

Joined
Jan 9, 2014
Posts
15
Reaction score
8
Habari zenu wanajamvi. Kwa anaefahamu trainings za Audit firms hua zinakuaje, yani kwa mfano mtu ni graduate ana ka'degree chake tu cha Taxation, then aka'apply job kwenye hizi audit firms, then wakamwambia atapata trainings kwa miezi 6 then watamuajiri rasmi na kwa kipindi chote hicho cha trainings atapewa some amount ya kujikimu. Sasa nataka kujua hua wana'train nini hasa kwa kipindi chote hicho?


Kwa anaejua plz...
 
Unajifunza kazi.wanazofanya mkuu, hongera kama umepata
 
Usiwe mwizi kwa mwajiri wako na wateja wenu na wala usishiriki kuiibia serikali
 
Back
Top Bottom