Train ya wanadiplomasia yashambuliwa na Urusi nchini Ukraine

Train ya wanadiplomasia yashambuliwa na Urusi nchini Ukraine

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,387
Reaction score
5,976
Urusi inadaiwa kushambulia treni karibu na mpaka wa Ukraine na Poland muda mfupi baada ya maafisa waandamizi wa Ulaya kuondoka eneo hilo.
Miongoni mwa waliokuwa kwenye treni hiyo walikuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Boris Johnson na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Sweden Carl Bildt, pamoja na washauri wa usalama wa Umoja wa Ulaya.
Ukraine inasema huenda treni hiyo ndiyo ilikuwa lengo la shambulizi hilo. Hakuna vifo wala majeruhi walioripotiwa. Je, shambulizi hilo lina ujumbe gani kwa Ukraine na washirika wake?
 

Attachments

  • TR.jpg
    TR.jpg
    37.3 KB · Views: 0
Back
Top Bottom