Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,901
- 18,883
kwa sababu wewe una nyumba bora basi unahisi kila mtu ana nyumba bora,walio wengi wanaishi kwenye nyumba za mbavu za mbwa.hakuna tunaloliweza.
ukinisoma vizuri utaona nimeandika kwamba "wengi wetu tunaishi......! nafikiri hiyo sentensi inajitosheleza!