Train Ya Nachingwea 1949

Train Ya Nachingwea 1949

Sasa hivi tunazidi kurudi nyuma badala ya kusonga mbele.
 
Sasa hivi tunazidi kurudi nyuma badala ya kusonga mbele.

Sio kweli, tunasonga mbele kama sisi, kwa maana hiyo treni na reli yake hatukuvijenga sisis, ilijengwa na Wazungu!

Wengine wanaona hiyo treni ni maendeleo,. lakini wanasahau kua hiyo ilikua ni nyenzo ya mkoloni kuvuna nguvukazi na rasilimali zetu kwa mabavu. Pengine Magamba chini ya Sultan Mangungu are worst, but a devil is a devil/
 
Sio kweli, tunasonga mbele kama sisi, kwa maana hiyo treni na reli yake hatukuvijenga sisis, ilijengwa na Wazungu!

Na hizi reli nyingine zilizopo pia ulijenga wewe?

Je ubora wake na uendeshaji wake kwa sasa bado uko sawa na ilivyokuwa miaka 15 kurudi nyuma?
 
Na hizi reli nyingine zilizopo pia ulijenga wewe?

Je ubora wake na uendeshaji wake kwa sasa bado uko sawa na ilivyokuwa miaka 15 kurudi nyuma?

Hata hizo nazo Walijenga Wazungu na ndio maana zimekufa, kwa maana waliojenga hawapo tena!
 
Hata hizo nazo Walijenga Wazungu na ndio maana zimekufa, kwa maana waliojenga hawapo tena!
Ndio maana nimekwambia tunarudi nyuma. Kama tulijengewa basi tulitakiwa kutumia hiyo advantage then tuanze maboresho kutoka hapo kwenda mbele. Sasa hivi kila kitu kila siku tunaanza upya na hatumalizi. Everything is pending and incomplete.
 
Sio kweli! Unaweza tu kurudi nyuma kama ulishawahi kwenda mbele! sasa sisi hatujawahi kufika huko, kilichokuwepo vyote vilijengwa, kusimamiwa na kuendeshwa na Wazungu, sio sisi!

Ila sisi kama sisi tunapiga hatua ukilinganisha na tulivyokuwa zamani, nikimaanisha kwamba kuna vitu ambavyo sasa tunavijenga wenyewe kama baadhi ya Barabara zetu, wengi tunajua kusoma kuandika nafikiri zaidi ya 70%, baadhi yetu tunaishi kwenye nyumba bora na zingine zina umeme na Maji, sasa huko ni kwenda mbele ukilinganisha na tulivyokuwa miaka ya 1800!

Tungeendeleza hivi vitu na kuvibadili saiv tungekua mbali sana..
 
Ndio maana nimekwambia tunarudi nyuma. Kama tulijengewa basi tulitakiwa kutumia hiyo advantage then tuanze maboresho kutoka hapo kwenda mbele. Sasa hivi kila kitu kila siku tunaanza upya na hatumalizi. Everything is pending and incomplete.

Acha kujidanganya, unarudi nyuma kutoka wapi ikiwa hujawahi kwenda mbele? Usahihi ni kwamba MKOLONI AMERUDI NYUMA. Efficiency ya reli ilikuwa kwa manufaa ya mkoloni na ndio maana kuondoka kwake kuliambatana na kufa kwa miundombinu yake.

Kuna watu wanaona it was better than now, lkn hamjiulizi, soon after independence kuna Mmakonde aliyekuwa ana safari ya kutoka nje ya Mtwara? Unapotaka barabara jiulize kama una shughuli nayo. Barabara haileti maendeleo kama imeelekea sehemu isiyo na shughuli
 
Sio kweli! Unaweza tu kurudi nyuma kama ulishawahi kwenda mbele! sasa sisi hatujawahi kufika huko, kilichokuwepo vyote vilijengwa, kusimamiwa na kuendeshwa na Wazungu, sio sisi!

Ila sisi kama sisi tunapiga hatua ukilinganisha na tulivyokuwa zamani, nikimaanisha kwamba kuna vitu ambavyo sasa tunavijenga wenyewe kama baadhi ya Barabara zetu, wengi tunajua kusoma kuandika nafikiri zaidi ya 70%, wengi wetu tunaishi kwenye nyumba bora na zingine zina umeme na Maji, sasa huko ni kwenda mbele ukilinganisha na tulivyokuwa miaka ya 1800!

kwa sababu wewe una nyumba bora basi unahisi kila mtu ana nyumba bora,walio wengi wanaishi kwenye nyumba za mbavu za mbwa.hakuna tunaloliweza.
 
Back
Top Bottom