Trafiki Polisi agongwa na gari kwenye mataa ya Magomeni

Rushwa unajengwa na watoaji, tukomae kulipa 30,000/ na kupata risiti halali

Crack kwenye kioo ulipe 30000, road licence ime expire ulipe 30000 traffic then 35000 TRA fine, sijui nini tena ulipe 30000... upuuzi tu. Jeshi la polisi kila iitwapo leo linabuni vianzo vipya vya rushwa hasa kwa traffic.
Ni kwa faida ya nani unapolazimisha gari ambayo kioo kime crack ibadili kioo hata kama crack haina athari kwa driving,kwani tz tuna kiwanda cha vioo vya magari kwamba wanasaidia klulinda ajira ? haya Road licence Traffic inawahusu nini,kama nimechagua kuwa nitalipa na faini TRA wao inawahusu nini ?
Wigo wa rushwa kwa traffic ni mkubwa mno,hivyo hata hao wanaotoa 2000 au 5000 ni kwa kukwepa usumbufu kwani huo ni mradi wa Traffic toka ngazi za juu hadi za chini,kwa kuwa ngazi za juu zinajua nini traffic barabarani wanafanya dhidi ya wadereva lakini ndio kwanza unaambiwa wanasimamia sheria...
 
Pole yake, ilikuwaje hadi akagongwa?

Si unajua kwa usiku askari kuongoza ni risk sana,kuna jamaa mwenye lori la blue kamvaa tu.
Ajali Migomigo.JPG
 
Crack kwenye kioo ulipe 30000, road licence ime expire ulipe 30000 traffic then 35000 TRA fine, sijui nini tena ulipe 30000... upuuzi tu. Jeshi la polisi kila iitwapo leo linabuni vianzo vipya vya rushwa hasa kwa traffic.
Ni kwa faida ya nani unapolazimisha gari ambayo kioo kime crack ibadili kioo hata kama crack haina athari kwa driving,kwani tz tuna kiwanda cha vioo vya magari kwamba wanasaidia klulinda ajira ? haya Road licence Traffic inawahusu nini,kama nimechagua kuwa nitalipa na faini TRA wao inawahusu nini ?
Wigo wa rushwa kwa traffic ni mkubwa mno,hivyo hata hao wanaotoa 2000 au 5000 ni kwa kukwepa usumbufu kwani huo ni mradi wa Traffic toka ngazi za juu hadi za chini,kwa kuwa ngazi za juu zinajua nini traffic barabarani wanafanya dhidi ya wadereva lakini ndio kwanza unaambiwa wanasimamia sheria...

mkuu' mengine umepatia, na sehemu nyingine umehama kabisa' sijui - labda umeongea kwa hasira.
 
Crack kwenye kioo ulipe 30000, road licence ime expire ulipe 30000 traffic then 35000 TRA fine, sijui nini tena ulipe 30000... upuuzi tu. Jeshi la polisi kila iitwapo leo linabuni vianzo vipya vya rushwa hasa kwa traffic.
Ni kwa faida ya nani unapolazimisha gari ambayo kioo kime crack ibadili kioo hata kama crack haina athari kwa driving,kwani tz tuna kiwanda cha vioo vya magari kwamba wanasaidia klulinda ajira ? haya Road licence Traffic inawahusu nini,kama nimechagua kuwa nitalipa na faini TRA wao inawahusu nini ?
Wigo wa rushwa kwa traffic ni mkubwa mno,hivyo hata hao wanaotoa 2000 au 5000 ni kwa kukwepa usumbufu kwani huo ni mradi wa Traffic toka ngazi za juu hadi za chini,kwa kuwa ngazi za juu zinajua nini traffic barabarani wanafanya dhidi ya wadereva lakini ndio kwanza unaambiwa wanasimamia sheria...

jipime kwanza acha kuropoka.
 
Back
Top Bottom