Trafiki Msata rushwa tupu

Trafiki Msata rushwa tupu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Jamani nani atakomesha rushwa kwa traffic police? Tarehe 30 July 2016 nimepita njia ya Bagamoyo - Msata mida ya saa 5 asubuhi, ma ma ma ma ma! polisi wa barabarani walijiposition kwenye kibao cha barabarani kilicho andikwa 50 kwenye kona na kifaa chao cha kupima speed ya magari. Jamani!!! Hakuna gari hata moja lililoandikiwa faini ya sh. 30000, magari yooote tulitozwa rushwa ya kuanzia 5000 hadi 10000 tu na kuendelea na safari. Gari langu dogo nimeambiwa nimeendesha speed ya 55km/saa badala 50 na wakati wa kurudi siku inayofuata nikaambiwa nimeendesha km 60. Magufuli rushwa traffic huiwezi bana.
 
Magufuli alisema hakuna ubaya kuwapa trafiki elfu tano au kumi kwa ajili ya ku brash viatu vyao!!
 
ACHA HIZO WANAPIWA NA JUA MCHANA KUTWA ATA VIJISENTI VYA KUPIGIA KIWI MNAVYOWAPA PIA UNAKUJA KUWATANGAZA KUWA NA HURUMA NDUGU YANGU.
 
Jamani nani atakomesha rushwa kwa traffic police? Tarehe 30 July 2016 nimepita njia ya Bagamoyo - Msata mida ya saa 5 asubuhi, ma ma ma ma ma! polisi wa barabarani walijiposition kwenye kibao cha barabarani kilicho andikwa 50 kwenye kona na kifaa chao cha kupima speed ya magari. Jamani!!! Hakuna gari hata moja lililoandikiwa faini ya sh. 30000, magari yooote tulitozwa rushwa ya kuanzia 5000 hadi 10000 tu na kuendelea na safari. Gari langu dogo nimeambiwa nimeendesha speed ya 55km/saa badala 50 na wakati wa kurudi siku inayofuata nikaambiwa nimeendesha km 60. Magufuli rushwa traffic huiwezi bana.
5-10,000 Magu alishapitisha hiyo ni hela ya kubrashia viatu hamna rushwa hapo.
 
Hili linanihusu kabisa kwakuwa hilo ndio eneo langu la kazi
Kama ndo eneo lako la kazi basi kuna tatizo kwa hayo majamaa yako. Utawakuta wamesimamisha gari na mmulikaji kavaa kiraia juu ya gari na nyumba ya gari upande wa pili wa gari ndo kakaa mtoa hukumu na magari yamefolenishwa kila dereva anazuunguushwa nyuma ya gari kutolewa upepo. Aibu hii hata hawaogopi kitu bana
 
Unalalamikia 5000/ Wakati hiyo ni hela ya kupigia kiwi viatu....tena na mkulu aliruhusu...

Ova
 
Kwa hiyo unataka watu waanze kulipa 30000. Hawakulazimishi, ungetoa 30 mara mbili ukajenga nchi. Kuliko kutoa 10 ukajenga maisha yako. Maana hela tunazotoa serikalini kwa sasa matumizi anapanga mtu mmoja.
 
Kama ndo eneo lako la kazi basi kuna tatizo kwa hayo majamaa yako. Utawakuta wamesimamisha gari na mmulikaji kavaa kiraia juu ya gari na nyumba ya gari upande wa pili wa gari ndo kakaa mtoa hukumu na magari yamefolenishwa kila dereva anazuunguushwa nyuma ya gari kutolewa upepo. Aibu hii hata hawaogopi kitu bana
Nipe siku mbili
 
Watu wengine bhana, umeambiwa utoe elfu 5 badala ya elfu 30 bado unalalamika
 
Jamani nani atakomesha rushwa kwa traffic police? Tarehe 30 July 2016 nimepita njia ya Bagamoyo - Msata mida ya saa 5 asubuhi, ma ma ma ma ma! polisi wa barabarani walijiposition kwenye kibao cha barabarani kilicho andikwa 50 kwenye kona na kifaa chao cha kupima speed ya magari. Jamani!!! Hakuna gari hata moja lililoandikiwa faini ya sh. 30000, magari yooote tulitozwa rushwa ya kuanzia 5000 hadi 10000 tu na kuendelea na safari. Gari langu dogo nimeambiwa nimeendesha speed ya 55km/saa badala 50 na wakati wa kurudi siku inayofuata nikaambiwa nimeendesha km 60. Magufuli rushwa traffic huiwezi bana.
Hela ya kubrush viatu JPM alisema! Ruksa, hawana kosa
 
Nipe siku mbili
Mshana hebu waache usije wachukulia hatua au kuwapiga picha wakipokea
mm naona ni halali yao kwani juwezi safiri mwendo wa speed ya 90,k/h mpaka Dar
sisi tunakanyaga 120 hadi 180 km/h km dashboard ilivyowekwa
kwa hiyo hiyo faini ya 5.000/= ni sawa kabisa
 
Uncle hiyo hela ya kublashia Viatu tu siyo rushwa wape ni haki yao
 
Mbona hamkuhoji wale wanaoendelea kutumia vitabu kuwaandikia bodaboda na kuwalazimisha walipe taslim papo hapo na serikali ilishakataza kupokea mapato yoyote nje ya electronic machine? Bodaboda tunanyooshwa kila kukicha.hawa watu hawajali.bado wanafanya kama zamani
 
Hivi kwanini hela ya faini ya mwendokasi watu wanaipigia kelele sana wakati wanafanya matumizi ya anasa ya zaidi ya hiyo pesa?
Na kama wanaona wanaonewa kwanini wasifuate sheria za barabarani?
 
Back
Top Bottom