Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,551
Kikosi cha usalama barabarani tunaomba mjaribu kumchunguza huyu trafiki wa kike aliyeko sasa hivi hapa Buguruni yawezekana ana matatizo ya akiri.Haiwezekani kutoka hili jengo la vioo hapa sheli kufika kwenye mataa ichukue saa zima.
Mlioko maeneo haya mtakuwa mashaidi kwa jinsi huyu trafiki alivyokosa busara,binafsi nimemhisi ana matatzo ya ufahamu.
Mlioko maeneo haya mtakuwa mashaidi kwa jinsi huyu trafiki alivyokosa busara,binafsi nimemhisi ana matatzo ya ufahamu.