Trafiki barabara ya Tegeta

Trafiki barabara ya Tegeta

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,234
jamani kwa watumiaji wa barabara ya tegeta
kuna matrafiki wametanda barabarani
wanakula vichwa kama hawana akili nzuri

kama una gari, hakikisha umejipanga.
 
ahsante kwa taarifa.
Nahisi kuna hela inahitajika mahala urgently, tangu juzi kulikuwa na rundo la hawa jamaa through out Morogoro Rd. na Old Bagamoyo...
 
mm hua nahakikisha nakua matakoni mwa gari ya mbele yangu afu naibia kulia kdg..., wapo kila siku pale njia panda kawe lakn hawajawahi nikamata hata siku moja!
 
he he he, nadhani tuunde criminology camp
ujuzi wangu na wako naona unakaribiana.

Duh, leo wako 8264.32
wamegawanyika mafungu mawili
wana njaa hao, eti wamemuuliza dereva wa daladala kwa nini hajavaa vesti nyeupe?

mm hua nahakikisha nakua matakoni mwa gari ya mbele yangu afu naibia kulia kdg..., wapo kila siku pale njia panda kawe lakn hawajawahi nikamata hata siku moja!
 
hizi njaa hawa jamaa wamezidi!sasa hv wanaulizia leseni,kama hujabadili wanataka waone ile ya zamani,ila original,sie tunatembeaga na copy!wana kipande cha sheria ya usalama barabaran kijisehemu che leseni wanakuambia soma mwenyewe!mm nilikamatwa wakanitoa buku 5!jamaa anasema rushwa haina chenji kaka!ikabd niwe mpole tuu.
 
inaboa sana
yaani inabidi mtu atembee na bajeti ya trafiki

mikoani raha kweli
hakuna hizi njaa za kiasi hiki

hizi njaa hawa jamaa wamezidi!sasa hv wanaulizia leseni,kama hujabadili wanataka waone ile ya zamani,ila original,sie tunatembeaga na copy!wana kipande cha sheria ya usalama barabaran kijisehemu che leseni wanakuambia soma mwenyewe!mm nilikamatwa wakanitoa buku 5!jamaa anasema rushwa haina chenji kaka!ikabd niwe mpole tuu.
 
mm hua nahakikisha nakua matakoni mwa gari ya mbele yangu afu naibia kulia kdg..., wapo kila siku pale njia panda kawe lakn hawajawahi nikamata hata siku moja!

Kuna wakati wanajigawa mara tatu.....akikukosa wa kwanza, atakupata wa pili....akikosa wa pili...huchomoki kwa watatu....
Naitumia sana hii mbinu, tena nikiwa njia ya kati (ila kuna siku ikashindikana, walikua pale ITV junction).
 
aaaaarrrgggh kuna siku walinidaka, fire extinguisher ilikuwa imeisha muda, wakakataka 30,000 . Nikawaambia sina waniandikie!!

juzi wamenipiga mkono tena, wakaniuliza kwa nini abiria wangu hajafunga mkanda, nikamwambia siwezi jua kwa vile abiria yupo wamalizane, wakaamua kuniachia.

Yaani wamejaa sana siku hizi, mpaka mfumko wa bei upungue(kama utapungua kweli) tutakoma barabarani
 
siku hizi hata kama umevaa ndala wanakushika eti zinaleta ajali

ole wako wagundue gari haina jeki na wheel spana wanakukamata

mara muda wa sevisi umepita, wanashika

sasa wakikuta inzurance na road license anaruka ruka kama mtu anaumwa uchungu wa kuzaa

anaanza na bei ya laki 3

duh, yaani ukibagain anasema umeme umepanda na mfumuko wa bei na petrol so hapokei hela ndogo

samtimes kama hakuna foleni unafanya kama unasimama akianza kuja unatoka na spidi ya roketi

heshima ya kondoo mkia
heshima na ng'ombe nundu

au umezoea vibua???

Nia ya wanaume wa aina hiyo...ni kupenda kutumia makalio kupatia usingizi..
Wanafanya makalio ya madia wao mto wa kurestisha pelvis zao..
 
kuna tatizo katika hilo

as long as hawafanyi uharibifu, kama ni mto wa kulalia tu ina shida gani?

hahahahhaahahh umenikumbusha nilidakwa mnazi mmoja, trafiki akadai nimepita kwenye taa nyekundu kwa sababu tu magari ya nyuma yangu yalisimama. Nikamwambia nimezikuta taa zikiwa za kijani, mbaya zaidi wa nyuma yangu alikuwa mbali sana isingewezekana akute taa za kijani.

Alipoona nimemshinda akaniambia gari yangu sio multicolour, nikamuuliza multicolour ikoje hakunipa jibu ikabidi aniruhusu.

Ila inabore sana, unaweza pigwa mkono hata mara tatu na maswali ni yaleyale leseni, fire extinguisher, kadi ya gari, triangle!!!!!!

siku hizi hata kama umevaa ndala wanakushika eti zinaleta ajali

ole wako wagundue gari haina jeki na wheel spana wanakukamata

mara muda wa sevisi umepita, wanashika

sasa wakikuta inzurance na road license anaruka ruka kama mtu anaumwa uchungu wa kuzaa

anaanza na bei ya laki 3

duh, yaani ukibagain anasema umeme umepanda na mfumuko wa bei na petrol so hapokei hela ndogo

samtimes kama hakuna foleni unafanya kama unasimama akianza kuja unatoka na spidi ya roketi
 
kuna tatizo katika hilo

as long as hawafanyi uharibifu, kama ni mto wa kulalia tu ina shida gani?

si tatizo maana hawafanyi uharibifu wowote..
Tatizo ni 'utegemezi'...

Ili alale inabidi ajiposition kimtindo...
Hata hivyo sipendi mtu kwa physical appearance hii au ile... Kiddogo toes zinanibabaishaga..
 
Back
Top Bottom