Trafiki barabara ya Tegeta

Hawa jamaa ni noma sana, kuna siku walinidaka wakaomba leseni, kadi ya gari, fire extinguisher na triangle, nikawapa vyote....! Baada ya kuona sina kosa mmoja akaniambia hebu angalia siti yako ilivyochanika, hujui kama ni makosa kutembea na gari ambalo siti yake imechakaa!? Kwa kweli ilibidi nicheke sana!
 
Back
Top Bottom