TRAFIKI ashindwa kuongea kiingereza

TRAFIKI ashindwa kuongea kiingereza

Askari wa usalama
barabarani wilaya ya kakonko anayejulikana kwa jina MBAYA ameshindwa
kuwasiliana na Raia wa kigeni aliyekuwa anaendesha gari T7610BVV,mpaka
akamuita askari mwenzake anaitwa Rudo,

Tujivunie kiswahili. huyo mzungu ka hajui kiswahili, anatakiwa atembee na mkalimani...
 
unamshangaa traffic police wakati raisi wa nchi ndo hajui kabisa hata mtoto wa darasa la tatu anamshinda??

"Thank you very so much" By JK.
 
Aende kwa RWAITAMA amfundishe kiingereza.
 
Wala haina tabu hiyo,mwaka 2009 nilikuwa nafanya kazi yemen jirani na kazini kwangu kulikuwa na kituo cha polisi,pale karibia kituo kizima hawajui english,ikawa akija mgeni toka nje ambae hajui kiarabu jamaa wananifata mimi naongea nae nawaambia nini anasema,ni kawaida kwa sababu sio lugha yao wala hawachekani
 
Askari wa usalama barabarani wilaya ya kakonko anayejulikana kwa jina MBAYA ameshindwa kuwasiliana na Raia wa kigeni aliyekuwa anaendesha gari T7610BVV,mpaka akamuita askari mwenzake anaitwa Rudo,

Khaaa!! Mbona usishangae huyo raia wa kigeni kushindwa kuongea Kiswahili usiwe mtumwa
 
Kwa dunia ya leo kujua lugha mbalimbali ikiwemo kiingereza, ni muhimu. Lakini ikitokea usiweze kujua lugha mojawapo wala isiwe kitu cha kustaajabisha mpaka lifike JF! Heri mimi najua Kiswahili, Kinyakyusa, Kibena, Kihehe, Kinyambo, Kichaga na Kiluguru kidogo; na ninajivuniakujua lugha hizo za nyumbani. Kiingereza najifunza, nitajivunia nikikijua.
 
soldier yuko sawa,ila wachangiaji kama salimkabor ndio hawatakiwi kwani wao hawayajui maisha ya watanzania maana kama angekuwa anayajua angejua kuwa wala si askari huyo tu ndiye mwenye tatizo la hiyo english,kwani hata maprof. wanachemka na ikiwezekana hata yeye mwenyewe inazwezekana ni wale wale waliokula uji wa mgon......
Huo uji wa mgonjwa ww hukuula bali umenyweshwa manake ht upeo wa kuelewa mambo huna ni wapi niliposema trafik hajui kiingereza kama kiswahili tu huwezi kuelewa sijui tukufanyeje au ndio walewale
 
Askari wa usalama barabarani wilaya ya kakonko anayejulikana kwa jina MBAYA ameshindwa kuwasiliana na Raia wa kigeni aliyekuwa anaendesha gari T7610BVV,mpaka akamuita askari mwenzake anaitwa Rudo,

Hili si la ajabu, ila cha ajabu ni kwamba kuna mtu JF anaitwa kutembea hajui kuwa kuna watanzania ambao hawajui kiingereza
 
Back
Top Bottom