Hivi kweli wewe unaamini kuwa kuna sheria nchi hii?, nenda katafakari uone kama unachokitetea kina mantiki. taratibu watu wanahama kutoka kuwachoma vibaka wanaoiba kwa ajili ya njaa kwenda kwa vibaka wanaoiba ili kudumisha status zao. inatokea katika nchi zingine na taratibu inaingia TZ. Stay tuned.Kumpiga polisi aliye kazini ni kosa. Walofanya hivyo wajipange kuikabili sheria endapo itafuatwa.
Hawa kwa hakika wanapendana. Hiyo pose tu inathibitisha hilo,tatizo ni wakati na mtu aliyenasa tukio. Baada ya kufukuzwa waendelee tu kudumisha upendo na watangaze hadharani kwani inaweza kuwa njia ya kutoka kwa kuwa watu mil.40 wangependa kujua kilichotokea.Bora hata hawa...huyo amechezea kichapoo😕😕😕
Yani ningekuwepo ninge penya hadi hata nimfinye tu kidogo!!
Mimi hawa watu na askari yeyote hata nimwone anakufa hapo, nitaenda jibu nikifa tu! Kama nitaulizwa!
kama hakuna hela anaongeza kosa jingine
..
Ni baada ya kusababisha ajali.
Hapa akipakizwa kwenye bajaji kumuepushia kipigo zaidi.
Kumpiga polisi aliye kazini ni kosa. Walofanya hivyo wajipange kuikabili sheria endapo itafuatwa.
Kumpiga polisi aliye kazini ni kosa. Walofanya hivyo wajipange kuikabili sheria endapo itafuatwa.