Ni baada ya kusababisha ajali.
Hapa akipakizwa kwenye bajaji kumuepushia kipigo zaidi.
Ni baada ya kusababisha ajali.
![]()
Hapa akipakizwa kwenye bajaji kumuepushia kipigo zaidi.
dah ..mzazi wa mtu huyo....wapigwe tu......... Leo asubuhi katusimamisha anaanza kudai ela
anaambiwa hela hakuna eti kama hakuna hela anaongeza kosa jingine
yule trafik aliniboa sana asubuhi..
Duh!
Kunahitajika uongozi mpya wa kulijenga upya jeshi la polisi!Maana inapofikia watu bila aibu wanamkwida `msimamizi` wa usalama,basi ujue kuna tatizo kwenye mfumo wa usalama wa nchi!
Leo askari atapigwa ,kesho watu wataunda jeshi kulinda makazi yao,misikiti yao,makanisa yao,mikoa yao na mwisho NCHI YAO!
GOD FORBID!!!
Jamani, hili suala ni serious sana. Haya ni matokeo ya Waziri Mkuu Pinda, aliposema 'wapigwe tu'. Wananchi wanapopata mwanya wanalipiza. Fikiria, kama polisi akiwa katika sare anaweza kupigwa namna hii, hali itakuwaje kwa raia wa kawaida? Mbaya zaidi, wengi waliozunguka hapo yawezekana ni vibaka. Hao wanajua siku hizi trafiki hakosi 150,000 mfukoni kwa sababu IGP kawapa kiwango cha hesabu cha kuwasilisha kila siku! Haya mambo tusiyachukulie juu juu, lazima tutafakari na kukubali kuwa nchi ilikoelekezwa na watawala hawa, siko kabisa. Wenye kuitakia mema Tanzania watakuwa wanabangua bongo zao kupata majibu ya hatari hii inayoingia kwa kasi katika Taifa letu.
Wapigwe tu......... Leo asubuhi katusimamisha anaanza kudai ela
anaambiwa hela hakuna eti kama hakuna hela anaongeza kosa jingine
yule trafik aliniboa sana asubuhi..