babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,313
- 20,902
mkuu si memba ila huwa nachekicheki kiaina wachumba kule,ila mada zingine huwa zinanivutia kuzileta hapa nasi tudiscuss.BK kumbe wewe ni member wa U-turn.com ndo maana ukatulete ule msala.Lol
taarifa inaongelea kufanyika malaysiaBangkok iko Thailand, si Malaysia.
Itafaa kama utabadilisha
kumbe mzazi mwenzie?ok ndio maana kalalama kwa machungu sanaNaona Mange kimemuuma mzazi mwenzie kapolwa lol!
thats ok for me,kama kila mtu akilalamika kama watu wameiga idea zao itakuwaje?google mwenyewe ka sarenda wachina wamemuanzishia kitu inaitwa goojle,mpaka imebidi alainike aanzishe google maalum ya kichina kabisa,namimi nawashauri kina frank wafanye fasta kuzunguka duniani kila mahali na hii paty yao kabla hawajaigwa.Kweli kabisa BK... Unajua hata hii Restaurant maarufu ya Brake-point hapa Dar kuna watu wamechukua jina na kuanzisha Nairobi pamoja na London ila sidhani kama hawa wa hapa Dar walikuwa na mpango wa kuanzisha BP huko hivyo Gonga hana haja ya kukasirika...
thats ok for me,kama kila mtu akilalamika kama watu wameiga idea zao itakuwaje?google mwenyewe ka sarenda wachina wamemuanzishia kitu inaitwa goojle,mpaka imebidi alainike aanzishe google maalum ya kichina kabisa,namimi nawashauri kina frank wafanye fasta kuzunguka duniani kila mahali na hii paty yao kabla hawajaigwa.
atavunja kioo chake tu cha laptop,niko more than 10000 km kutoka alipo,by the way it aint nothn kujadili mada ambayo mwenyewe kaianzisha mrembo😎babukijana...ngoja mwenye habari akushike, akulipue na mibomu ya matusi na kipondo juu,,,usije ukaniita nikuamue
atavunja kioo chake tu cha laptop,niko more than 10000 km kutoka alipo,by the way it aint nothn kujadili mada ambayo mwenyewe kaianzisha mrembo😎
kumbe una nioneaga huruma eeh sometime😉haya weee....shauri yako