Trafick watumwa wengi Moshi....!

Trafick watumwa wengi Moshi....!

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,242
Reaction score
1,429
Kuna kundi kubwa la matrafick wametumwa Moshi na barabara kuu chalize segera mpaka Himo ,ili kuimaisha usalama wakati Akina Mangi wanarudi kwao kwa mapumziko na sikukuu za mwisho wa mwaka! Kila kabila likarudi mkoani nafikiri Dar itapumua kwa kila kitu.Nawatakieni sikukuu njema nami niko likizo.
 
Nimepita leo Moshi nimeona mji tayari umeshaanza kuwa na foleni....naona wachaga washanza kujazana na magari yao
 
Nachukia wachagga ile mbaya

ukishachukia umefaidika na nini? Kumbuka jamii inayochukiwa ndiyo inafanikiwa na kushinda kila kikwazo, Chuki zako kwa Wachaga ndio baraka kwa😵NGEZA CHUKI MKUU .
 
Nachukia wachagga ile mbaya
wewe kaa na chuki yako wao wanasonga mmbele,wapi ulisikia kuna jam ya magari kwakua watu wanaenda kusherehekea sikukuu flani??wachaga noma ndilo kabila lililo endelea kiuchumi na kielimu kuliko lote hapa nchini,siwafagilii alakini ndio ukweli wenyewe,angalia dar magari yatakavyo pungua,hakutakua na zile foleni ulizozizoea means hao wachaga ndio walio occuped mambo mengi hapa bongo,huku zoo maduka kibao yashafungwa hatakama lipo wazi alakini utasikia familia yote ipo kilimanjaro,ndege zote ziko booked.wachaga noma.tusiwaonee wizi ila iwe changamoto.jilas sio mzuka
 
bora angekuwa anachuki basi ,halafu huko atokako kuna afadhali ...unakuta anatoka kwenye njaa balaa..,
 
Kuna kundi kubwa la matrafick wametumwa Moshi na barabara kuu chalize segera mpaka Himo ,ili kuimaisha usalama wakati Akina Mangi wanarudi kwao kwa mapumziko na sikukuu za mwisho wa mwaka! Kila kabila likarudi mkoani nafikiri Dar itapumua kwa kila kitu.Nawatakieni sikukuu njema nami niko likizo.

safety first
 
safety first
salam mkuu,
For many years "safety first" has been the motto of the human race....but it has never been the motto of Leaders.A LEADER MUST FACE DANGER.he must take the risk and the blame and the brunt of the storm."Refuse to join the cautious crowd that plays not to lose". heshima yako mkuu.
 
Nimepita leo Moshi nimeona mji tayari umeshaanza kuwa na foleni....naona wachaga washanza kujazana na magari yao

Mzee acha kudanganya wananchi no research no right to speak mji wa msh hauko busy wala hayo magari unayosema ni uongo wanajf wenzangu mji uko shwari wala wageni anaosema hawaonekani labda ni mkosaji leo traffic walikuwA watano pale kia nayo kwa ajili ya ujio wa waziri mkuu arusha!
 
Mwacheni aseme anawachukia kwanini,mie nawapenda kinoma,mabinti wa kichaga ni jembe kinoma,wanajishughulisha kimaendeleo ile mbaya. Siyo wachoyo kwenye mambo yetu yaleeeeeee! Usiwachukie wachaga plz,kama Bi Temu alikumwaga isije ikawa noma jamani.
 
Nachukia wachagga ile mbaya

eti makupa ule msemo unasemaga chuki nichukie roho yangu niachie au unasemaje?halafu ule wimbo bure mtakunywa sumu mfe huku mnaona aliyepewa muheshimu riziki yake nini?kwa niaba ya wachaga nasema tunakupenda coz tunachukia wa2 wanaotunyima riziki 2 lakini wenye vijichuki vidogo kama wewe hawatunyimi usingizi,
 
Nachukia wachagga ile mbaya

im still here buddy,Muombee adui yako aishi siku nyingi ili unapofanikiwa ajionee mwenyewe,hamna haja kabisa afe kabla hajaona baraka ambazo Mungu malizia basi,proudly a chagga,
 
Back
Top Bottom