Nimepigiwa simu kutaarifiwa juu ya kadhia hii ya kutisha.
Nahisi gari hiyo ndogo iliyosababisha ajali ilikuwa na wahalifu!
Ni confirmed kwamba huyo askari trafiki amefariki kabla ya kufika hospitali.
Inawezekana ikawa ni makusudi ya huyo dereva wa gari ndogo kuwagonga traffic hao, tafadhali apimwe kwanza akili
Broda tunaomba tumalize msiba ndipo tuanze hizi conspiracy theories.Mungu amweke pema marehemu na majeruhi wapone haraka. Polisi watatu walikuwa wanafanya au wanazungumza nini na dereva wa daladala?
Broda tunaomba tumalize msiba ndipo tuanze hizi conspiracy theories.
Broda tunaomba tumalize msiba ndipo tuanze hizi conspiracy theories.
Mara nyingi nimekuwa nawashauri wanausalama barabarani, mara nyingine hata kuwakemea tabia ya kufanya check point mahala popote bila kujihakikishia usalama wa kupaki magari wanayoyasimamisha, usalama wao wenyewe, usalama wa wananchi waenda kwa miguu na waendesha magari wengine. Ninadhani eneo linalosemwa sio eneo salama kufanywa check point. Ona sasa balalaa hili. Poleni sana kwa ajali hii.
Nimeongea na jamaa mmoja anasema huyo aliyekuwa anaendesha gari dogo alikuwa anaovertake bila mpango ndio ajali ikatokea...