Trafic watatu wagongwa na gari dogo Arusha

Trafic watatu wagongwa na gari dogo Arusha

Mbaya sana hii kitu. Mida ya saa 5 nilipita pale nikawakuta hawa trafic akiwemo mwana mama mmoja sasa sijui aliyekufa ni men au mwanamama? Huyu bwana aliyewagonga askari alikuwa na makosa lazima na kwa nini asingekwepa kwa kupitia Kanisani atokezee Shalom uzunguni aje atokee East afrika hotel kuliko kuhatarisha maisha ya watu wengine? So sad So Bad
 
kuna mmoja anaitwa malisa amenipiga bao hapo hapo na alikuwa na redio call...........
 
Inasikitisha sana, tuzidi kuwaombea waote mbele za Mungu.
 
Pole kwa wafiwa...lakini baada ya yote tupate kujifunza jambo kwa pande zote...waendesha magari na askari pia.
 
Traffic vp gari dogo nalo walilipiga mkono?
 
Sipati picha ghadhabu za traffic mkoani Arusha baada ya mazishi....ila watenge sehemu maalum za check point.mungua amlaze mahala pepa peponi huyo traffic na majeruhi wapone haraka.ameen
 
Inasikitisha sana, tuwaombee majeruhi wapatekupona upesii.
 
Back
Top Bottom