Traffic wanafanya nini MFUGALE FLYOVER?

Traffic wanafanya nini MFUGALE FLYOVER?

NDUGU DARAJA LA KIGAMBONI HAKUNA CROSS YAANI NJIA NNE ZIMEKUTANA. TAZARA KUNA NJIA NNE ZILIZOKUTANA LAZIMA CHINI WAWEKE TAA
Labda kama walikosa eneo, lakini uwezekano upo wa kusanifu gari zipite kwa kuongozea na flyover , hakuna haja ya taa. Ukiweka taa, ndiyo matokeo yake unaweka na Askari.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Wameambiwa wakusanye mapato mkuu umesahau
 
Kwani Wewe aliyekuambia kuwa hiyo barabara angani Mfugale ndiyo suluhisho la Kudumu la tatizo la Foleni Mkoa wa Dar es Salaam nani? Kwa wenye ' akili ' huwa hawaanzi Kwanza kutengeneza barabara za ' highways ' badala yake hujikita Kwanza katika Kuzitengeneza zile zilizopo ndani ' Feeder ' ambazo kama zingeangaliwa kwa ' Utaalam ' wa hali ya juu na zote zikafufuliwa na kuwekwa Lami usingeona foleni Jijini. ' Logically ' tu ni kwamba Foleni inakuwa Kubwa Dar es Salaam kwakuwa Watu wote wanaogopa kupitisha Gari zao katika zile barabara za ndani ndani ( Feeders ) kwakuwa ni mbovu hivyo matokeo yake wote wanajikuta sehemu moja wakitumia barabara Kuu moja.

Wazungu wakitucheka na kutuambia Waafrika ni Wapumbavu / Mapopoma tusiwe tunakataa au tunawanunia. Naomba niishie hapa tafadhali ila namlaumu mno Mwenyezi Mungu kuniumba Mwafrika japo najiona kabisa ilipashwa niungane na wenye ' akili ' wenzangu Wazungu na hasa Wayahudi ( Waisraeli )

Ukweli ni Mchungu lakini muukubali tu!
Kama uko sehemu ya kilaji anzaga kuagizia mm nakuja lipia....Asante

Ova
 
Askari Wameanza Tena Kuongoza Magari Wakati Taa Zipo Na Tulidhani Askari Walitakiwa Kukaa Pembeni
 
Back
Top Bottom