Traffic radar inawezaje kutambua spidi ya Gari ?

Traffic radar inawezaje kutambua spidi ya Gari ?

The Icebreaker

Platinum Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
39,784
Reaction score
123,808
Naomba niulize swali,nimekuwa nikiona magari yanayokwenda spidi zaidi ya ile iliyowekwa kisheria hupigwa picha na RADAR.

Swali; hivi radar huitambua kwa njia ipi kama gari ime overspeed? Huwa na uwezo wa kuisoma Speedometer iliyo ndani ya gari? Au hufanya Calculation ya mzunguko wa Tairi? Msaada wandugu,

Samahani kama nitakuwa nimekosea lugha ila nafikiri nime eleweka,

Thanks.
 
Mie nimesomea vitabu...ngoja waliosomea kikokotozi waje kutusaidia.
 
Naomba niulize swali,nimekuwa nikiona magari yanayokwenda spidi zaidi ya ile iliyowekwa kisheria hupigwa picha na RADAR
Swali; hivi radar huitambua kwa njia ipi kama gari ime overspeed? Huwa na uwezo wa kuisoma Speedometer iliyo ndani ya gari? Au hufanya Calculation ya mzunguko wa Tairi? Msaada wandugu,
Samahani kama nitakuwa nimekosea lugha ila nafikiri nime eleweka,
Thanks.
Kasome doppler effect..
 
Kasome doppler effect..

ila advanced level physics inagusa vitu vingi na useful sana. hapa watu wa pcb pgm pcm wanaelewa.

Hebu mtoa mada google hiyo doppler effect.

kwa kifupi:

ile speed gun ya trafic akiliona gari kinakuja, analinyooshea. ile gun itatoa mionzi flani ambayo speed yake inajulikana (c), na frequency (f) na wavelength zake pia ni known. ile mionzi itakutana na gari, itajigonga na ku bounce back, itarudi kwenye kile kifaa cha trafick, itarejesha time (t) taken tokea miozi ilivyoondoka hadi ilivyo rejea, na frequency mpya za ile mionzi, na speed mpya ya mionzi, na from these data watapata speed ya gari

kile kifaa ninaweza pima ata speed ya gari kwa nyuma. ie gari likishampita trafik, na pia kuwasha wipers za kuclean windscreen haisaidii eti kukizubaisha maboya kile kifaa. aisee noma sana.
 
Mwambie huyo! Mbon aliepita jaelezea na kaeleweka
Sio hivyo bhana.., sijataka kueleza juu juu kama secret service.., nilitaka uone utamu wa physics wewe mwenyewe. nasisitiza kasome DOPPLER EFFECT.
 
Naomba niulize swali,nimekuwa nikiona magari yanayokwenda spidi zaidi ya ile iliyowekwa kisheria hupigwa picha na RADAR.

Swali; hivi radar huitambua kwa njia ipi kama gari ime overspeed? Huwa na uwezo wa kuisoma Speedometer iliyo ndani ya gari? Au hufanya Calculation ya mzunguko wa Tairi? Msaada wandugu,

Samahani kama nitakuwa nimekosea lugha ila nafikiri nime eleweka,

Thanks.

RADAR ni kifupisho cha maneno haya, Radio detetion and Range! Kimsingi kile kifaa cha traffic kinatoa mionzi ya infrared
ambayo ikituwa kwenye uso wa gari inaakisiwa na kupokelewa tena, mionzi ikipokelewa speed inaweza kupimwa na kupatikana.


Ku-0verspeed ni swala la kisheria, kama speed iliyorekodiwa na Speed Radar ni kubwa kuliko inayooneshwa kwenye kibao cha barabarani basi itakuwa over speed!
 
doppler reflect...... inameasure relative frequency kati ya wave inayo emmit iyo mashine na zile zinazorud baada ya kugonga kwenye gari then ina convert into speed!!!
 
doppler reflect...... inameasure relative frequency kati ya wave inayo emmit iyo mashine na zile zinazorud baada ya kugonga kwenye gari then ina convert into speed!!!

Swali zuri sana bona:thumbup:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom