Traffic police TAZARA mtatuua asubuhi

Kremme

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
471
494
Imekuwa kawaida traffic light za pale TAZARA( Junction ya Nyerere & Mandela roads) kwa asubuhi mida ya saa kumi na mbili hivi taa kutowaka na traffic hukaa pembeni tu kwenye vile vibanda badala ya kuongoza magari ili kuimarisha usalama.

Je watu wakigongana alaumiwe nani?
 
Walaumiwe watakaogongana
 
Back
Top Bottom