Mbeya Jiji na Kero ya Bajaji Barabarani

Popo-

JF-Expert Member
Jan 21, 2022
282
575
Habari ya Asubuhi wana jamii,

Leo Mh. Waziri mkuu anatarajia kufanya ziara mbeya mjini/mbeya city. Moja kati ya kero kubwa hapa mbeya mjini ni bajaji ambazo hazina utaratibu maalumu kama vyombo vingine vya moto.

Hii imekuwa kero kubwa sana hapa mjini tofauti kabisa na majiji mengine, utaona utaratibu wa bajaji zipite njia ipi, na kwa utaratibu fulani.

Hapa Mbeya hakuna utaratibu wowote, bajaji zinaamua zipite kwa namna zinavyojisikia, na wakati mwingine, traffic wanapewa fimbo eti kuzicontrol bajaji zipite njia gani. Hii kwa kweli si haki kwao traffic na inatengeneza uadui na vijana waendeshao bajaji. Zaidi sana vijana hawa wamekuwa wababe sana barabarani, mpaka kupelekea ajali za mara kwa mara, tumeshuhudia mtelemko wa simike ajali kadha wa kadha waanga wa ajali hizo sana sana ni bajaji kutokana na ukaidi pindi wanapopewa tahadhari. Lakini kwenye mataa ya mafiati baajaji hazifuati utaratibu wowote wa mataa, wao mda wowote wanapita kwenye mataa.

Ni wazi kwamba, bajaji hizi haziguswi kwasababu zinasadikika ni za kiongozi mmoja wa mhimili mkubwa wa nchi hii. Na zingine baadhi ni za polisi na watumishi sekta fulani. (Minong'ono ya mtihani). Tetesi hizi zimekuja baada ya kuona hakuna hatua zozote zinachukuliwa kwenye bajaji hizi, zaidi ya kuwapanga traffic mida ya jioni kuwashukia fimbo bajaji wapite pembezoni mwa barabara, of which zoezi hilo limekuwa gumu na la mateso kwa traffic hao.

Jambo jingine ni BARABARA. tunashuhudia wenyewe barabara kuu iendayo zambia kweli ni nyembamba sana, hivyo kuleta foleni kubwa zamani ilikuwa jioni, sasa ni toka asubuhi kuna foleni, mojawapo ni bajaji, ambao hupita njia moja na magari, huku wakipakia abiria katikati ya barabara of which pia imekuwa ikitengeneza foleni sana ya magari makubwa na madogo.

Jambo lingine, ni uwepo wa mikokoteni barabarani, hii imekuwa kero nyingine. Kuna service road pembeni. Lakini baadhi ya watu wanapita katikati barabara, bila wasiwasi na hata mamlaka zipo kimya..Hili laweza kuleta madhara makubwa ya ajali n.k.

Jambo lingine, Ni service road kuwekwa udongo, bila ya ukarabati, hivyo kupelekea shida ya matope na kutwama maji.

Wadau, na wakazi pamoja na watu wote wenye mapenzi mema na mkoa huu. Tusaidiane kufikisha hizi kero. Kwani Mbeya kuitwa jiji hakuendani na hadhi ya ujiji kwa haya yanayoendelea.

Sote kwa pamoja katika maenedeleo ya mkoa na taifa kwa ujumla.

Ndimi,
Asumwisye Amenye Mwaipopo
 
Kiukweli kwa utaratibu wa daladala za mkoani mbeya kutumia tu njia kuu naona bajaj ziwepo tu maana zinarahisisha sana maisha ya watu, imagine mtu anatoka Pipe line anafikaje main rd bila bajaj, kupitia maeneo muhimu ya ofisi mbalimbali za vyuo hakuna daladala zinapita karibu. Bajaj ni mkombozi bila kujalisha nani amewekeza.
Otherwise wekeni utaratibu mzuri wa kusambaza daladala kila njia
 
Engineer gani alilala na kuamka asubuhi na kumwaga ule udongo pembezoni mwa T1 wakati hiki ni kipindi cha mvua?,yaani ametengeneza tope tu, kabla ya kujitahidi kuondoa yale mashimo na uchafu ule wa matuta
 
Tunasemea bajaji kwenye barabara kuu.
 
Habari ya Asubuhi wana jamii,

Leo Mh. Waziri mkuu anatarajia kufanya ziara mbeya mjini/mbeya city. Moja kati ya kero kubwa hapa mbeya mjini ni bajaji ambazo hazina utaratibu maalumu kama vyombo vingine vya moto.

Hii imekuwa kero kubwa sana hapa mjini tofauti kabisa na majiji mengine, utaona utaratibu wa bajaji zipite njia ipi, na kwa utaratibu fulani.

Hapa Mbeya hakuna utaratibu wowote, bajaji zinaamua zipite kwa namna zinavyojisikia, na wakati mwingine, traffic wanapewa fimbo eti kuzicontrol bajaji zipite njia gani. Hii kwa kweli si haki kwao traffic na inatengeneza uadui na vijana waendeshao bajaji. Zaidi sana vijana hawa wamekuwa wababe sana barabarani, mpaka kupelekea ajali za mara kwa mara, tumeshuhudia mtelemko wa simike ajali kadha wa kadha waanga wa ajali hizo sana sana ni bajaji kutokana na ukaidi pindi wanapopewa tahadhari. Lakini kwenye mataa ya mafiati baajaji hazifuati utaratibu wowote wa mataa, wao mda wowote wanapita kwenye mataa.

Ni wazi kwamba, bajaji hizi haziguswi kwasababu zinasadikika ni za kiongozi mmoja wa mhimili mkubwa wa nchi hii. Na zingine baadhi ni za polisi na watumishi sekta fulani. (Minong'ono ya mtihani). Tetesi hizi zimekuja baada ya kuona hakuna hatua zozote zinachukuliwa kwenye bajaji hizi, zaidi ya kuwapanga traffic mida ya jioni kuwashukia fimbo bajaji wapite pembezoni mwa barabara, of which zoezi hilo limekuwa gumu na la mateso kwa traffic hao.

Jambo jingine ni BARABARA. tunashuhudia wenyewe barabara kuu iendayo zambia kweli ni nyembamba sana, hivyo kuleta foleni kubwa zamani ilikuwa jioni, sasa ni toka asubuhi kuna foleni, mojawapo ni bajaji, ambao hupita njia moja na magari, huku wakipakia abiria katikati ya barabara of which pia imekuwa ikitengeneza foleni sana ya magari makubwa na madogo.

Jambo lingine, ni uwepo wa mikokoteni barabarani, hii imekuwa kero nyingine. Kuna service road pembeni. Lakini baadhi ya watu wanapita katikati barabara, bila wasiwasi na hata mamlaka zipo kimya..Hili laweza kuleta madhara makubwa ya ajali n.k.

Jambo lingine, Ni service road kuwekwa udongo, bila ya ukarabati, hivyo kupelekea shida ya matope na kutwama maji.

Wadau, na wakazi pamoja na watu wote wenye mapenzi mema na mkoa huu. Tusaidiane kufikisha hizi kero. Kwani Mbeya kuitwa jiji hakuendani na hadhi ya ujiji kwa haya yanayoendelea.

Sote kwa pamoja katika maenedeleo ya mkoa na taifa kwa ujumla.

Ndimi,
Asumwisye Amenye Mwaipopo
Gagula wao alimwaga bajaji na bodaboda ili wampende.
 
Siyo Mbeya tuu hata Morogoro na mikoa mingine changamoto ni hiyo hiyo. Niliwahi kusema hapa kwamba hii nchi utadhani hakuna town planners, hivi unawezaje kuruhusu bajaj kwenye majiji? Yaani badala ya ku encourage ma Bus makubwa ili kupunguza mlundikano wa hizo bajaj barabarani, ambazo zinachukua watu 3 ndiyo kwanza wanatoa leseni. Bodaboda wenyewe kuwa control wameshindwa sasa ongezea na bajaj si ndiyo balaa kabisa? Mbaya zaidi hawafuati sheria za barabarani, wana overtake hovyo, kwenye tragic light hawasimami daaah aiseeee...
 
Back
Top Bottom