Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,730
- 2,392
Utoto raha sana! Anang'ata ashkrimu halafu anakutemea mkononi na wewe unaila tu bila wasiwasi!
swaaafi!

Lala tu ila kesho uje kujibu tuhuma za kumpa hongo mtumishi wa uma, kitendo kinachotafsiriwa kama kumziba mdomo ili siku ukicommit crime barabarani akuoffend!
Hahahahahahahaaa, mmenichekesha balaa, eti ..."tukamnyima", mna umri gani we na jamaa zako? Kwa hiyo alivyoingia kwenye gari aliomba na samaki au ilikuwaje mpaka "mkamnyima'...lol!
Habari ya usiku wakuu. Poleni na majukumu ya siku nzima.
Leo nimekutana na hiki kisa cha huyu mama Traffic Police.
Nilikuwa natoka kwangu naingia mjini, kwa mbaali nikamuona traffic anaelekea ninakoelekea. Nilipomfikia nikampita tu sikusimama. Kwakuwa sikuwa speed, baada ya kumpita hatua chache nikajisikia moyoni kumpa lift yule mama traffic.
Kweli nikasimana na nikaanza kurudi nyuma ili nimfikie. Nilipomfikia, nikamuuliza anakoelekea akasema naenda pale sehemu(akaitaja) kwasababu kuna msafara. Nikamwambia, panda afande twende, kweli akapanda tukaanza kuondoka.
Baada ya story za hapa na pale mama akaanza kunishukuru kwa kumpa lift. Nikasema usijali mama wewe ni boss wangu.
Akasema, mwanangu pamoja na uaskari wangu huu, siwez kuomba lift ktk maisha yangu hata siku moja, nikauliza why, akasema iko iv. Kuna siku alisimamisha gari akiwa na uniform kwa lengo la kuomba lift, yule mtu alimjibu "NUNUA GARI YAKO UPANDE" anasema toka siku iyo hawezi kuomba lift kwa jinsi alivodhalilishwa.
Nilishangaa na nikajisikia vibaya sana kwa majibu hayo alojibiwa yule mama traffic.
Wadau, je ni sahihi kweli hata kama wanakera hawa askari?
Umri haukuhusu, ila ndio hivyo kwa lugha ya picha tu alionekana anaomba lakini tukamnyima maana hawana maana.
Huyo ni mmoja wa wastaarabu labda pia kwenye kazi yake, wengine huwa wanalazimisha na kwa kuudhi zaidi anakusimamisha na kafimbo akiwa boss. Huyo mimi nampita tu kama simwoni kwani wakikukamata ni washenzi sana wa aina hiyo.
Tatizo wanashinda Juani sasa wakiingia kwenye gari harufu ya kikwapa ndiyo tatizoHabari ya usiku wakuu. Poleni na majukumu ya siku nzima.
Leo nimekutana na hiki kisa cha huyu mama Traffic Police.
Nilikuwa natoka kwangu naingia mjini, kwa mbaali nikamuona traffic anaelekea ninakoelekea. Nilipomfikia nikampita tu sikusimama. Kwakuwa sikuwa speed, baada ya kumpita hatua chache nikajisikia moyoni kumpa lift yule mama traffic.
Kweli nikasimana na nikaanza kurudi nyuma ili nimfikie. Nilipomfikia, nikamuuliza anakoelekea akasema naenda pale sehemu(akaitaja) kwasababu kuna msafara. Nikamwambia, panda afande twende, kweli akapanda tukaanza kuondoka.
Baada ya story za hapa na pale mama akaanza kunishukuru kwa kumpa lift. Nikasema usijali mama wewe ni boss wangu.
Akasema, mwanangu pamoja na uaskari wangu huu, siwez kuomba lift ktk maisha yangu hata siku moja, nikauliza why, akasema iko iv. Kuna siku alisimamisha gari akiwa na uniform kwa lengo la kuomba lift, yule mtu alimjibu "NUNUA GARI YAKO UPANDE" anasema toka siku iyo hawezi kuomba lift kwa jinsi alivodhalilishwa.
Nilishangaa na nikajisikia vibaya sana kwa majibu hayo alojibiwa yule mama traffic.
Wadau, je ni sahihi kweli hata kama wanakera hawa askari?
habari ya usiku wakuu. Poleni na majukumu ya siku nzima.
Leo nimekutana na hiki kisa cha huyu mama traffic police.
Nilikuwa natoka kwangu naingia mjini, kwa mbaali nikamuona traffic anaelekea ninakoelekea. Nilipomfikia nikampita tu sikusimama. Kwakuwa sikuwa speed, baada ya kumpita hatua chache nikajisikia moyoni kumpa lift yule mama traffic.
Kweli nikasimana na nikaanza kurudi nyuma ili nimfikie. Nilipomfikia, nikamuuliza anakoelekea akasema naenda pale sehemu(akaitaja) kwasababu kuna msafara. Nikamwambia, panda afande twende, kweli akapanda tukaanza kuondoka.
Baada ya story za hapa na pale mama akaanza kunishukuru kwa kumpa lift. Nikasema usijali mama wewe ni boss wangu.
Akasema, mwanangu pamoja na uaskari wangu huu, siwez kuomba lift ktk maisha yangu hata siku moja, nikauliza why, akasema iko iv. Kuna siku alisimamisha gari akiwa na uniform kwa lengo la kuomba lift, yule mtu alimjibu "nunua gari yako upande" anasema toka siku iyo hawezi kuomba lift kwa jinsi alivodhalilishwa.
Nilishangaa na nikajisikia vibaya sana kwa majibu hayo alojibiwa yule mama traffic.
Wadau, je ni sahihi kweli hata kama wanakera hawa askari?
Mkuu, yule mtu aliyetoa ile kauli nina uhakika kuna mambo yaliyomkuta. Niliwahi kumpa lift askari wa usalama barabara. Baada ya kukaa na tumekwenda kama mita mia mbili akaanza kusema lakini mheshimiwa taa yako moja imevunjika na hilo ni kosa. Sikumjibu. Nilichofanya ni kusimama sehemu karibu na kituo cha daladala na kumuuliza, ulinisimamisha kwa kwa makosa yangu au lifti? Wakati anashangaa nikamwambia shuka kwenye kwenye gari yangu. Akashuka nikaendelea na safari yangu.
Wewe si muungwana.mkwa hiyo kumpa lift ndio asikwambie ukweli? ujui hiyo inasaidia hata usalama wako?
TRAFIKI rudi msalabani
kwakweli hawa watu wanakwaza sana jamani, mimi mwenyewe siwezi kumpa trafic lift, wanamajibu ya ovyo sana hawa watu, wakati mwingine hudhani labda ni elimu zao za kuwasiliana ni ndogo. samahani kama mpo hapa naomba niwaeleze siwapendiiiii
mkuu ukitaka kujua ulipata thawabu ulichofanya nenda pale makaburi ya kinondoni angalia kama kuna aliezikwa na gari hata mmoja ,.nenda bugurni makaburini angalia kidume rutihinda naibu gavana bot kama amezikwa na magari yake...basi mungu akupe haja ya moyowako .....
Kama unawezatoa lift toa ingawa kuwa makini hasa usiku kuna polisi waliomba lift mbezi watu wakalia wakapelekwa tegeta kwa ndani mkuu..ila mchana ruksa