Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
Ki Rose Mhando zaidiHahah, mambo ya Kakobe
Ki Rose Mhando zaidiHahah, mambo ya Kakobe
Muhimu sana kurudi msalaniBujibuji rudi msalabani
Muhimu sana kurudi msalani
Lala tu ila kesho uje kujibu tuhuma za kumpa hongo mtumishi wa uma, kitendo kinachotafsiriwa kama kumziba mdomo ili siku ukicommit crime barabarani akuoffend!
Haaa nyie hamjui traffic police walivyo washenzi, mimi simpi lift labda aniombe, kuna siku nilikuwa natoka bagamoyo Polisi aliomba lift nikampa lakin mle ndani tulikuwa na jamaa yangu tunakula samaki na mazagazaga mengine tukamnyima shenzi
Lala tu ila kesho uje kujibu tuhuma za kumpa hongo mtumishi wa uma, kitendo kinachotafsiriwa kama kumziba mdomo ili siku ukicommit crime barabarani akuoffend!
Hahahahahahahaaa, mmenichekesha balaa, eti ..."tukamnyima", mna umri gani we na jamaa zako? Kwa hiyo alivyoingia kwenye gari aliomba na samaki au ilikuwaje mpaka "mkamnyima'...lol!
Akicommit crime amuoffend?!!!! Au am defend??!!
Jamaa kanikumbusha shule ya msingi ukinyimwa mihogo na rafiki yako, inaumaa!
Sio jibu zuri hasa kwa tamaduni zetu za kiafrica, wenzetu wa ulaya hilo jibu ni la kawaida sana kwao maana hawana umoja kama sisi.
Kuna mwanafunzi mwenzetu mama yake alikuwa mama lishe karibu na shule yetu....basi dogo daily alikuwa anafungashiwa njugu mawe ili apate staftahi mapumziko ya saa nne...tulimwoneaje gere!
Jamaa kanikumbusha shule ya msingi ukinyimwa mihogo na rafiki yako, inaumaa!
Na urafiki wenyewe unakufa sku hiyohiyo...."we mchoyo sana", shuleni mpaka barafu tunang'atiana!
Nani kakwambia ulaya hawapeani lift? Nchi zilizoendelea gari ni kitu cha kawaida sana, ukikuta mfanyakazi anaenda kazini kwa mguu ujue ameamua, wengi wanatumia usafiri wa umma na baiskeli kuepuka foleni na kupunguza matumizi yasiyo ya msingi. Sisi gari ni kama ng'ombe kwa mmasai, ni alama ya wealth, mtu akiwa na funguo ya gari hataki hata kuitia mfukoni, full time mkononi na masimu yake mawilimawili kama hana mifuko!
Duh, kwa njugumawe mbichi za kuchemsha hata mimi ningebembeleza urafiki!