"Traffic" Nunua gari yako upande

"Traffic" Nunua gari yako upande

Tatizo nao wanakuwaga wanajidai ni kama wanaishi dunia yao. Mtu akupe lift uanze tena kukosoa. Anyway nimejifunza kitu mkuu
Alafu sio waelewa mtu unarudi kazini mara barabarani daladala inakukwangua kwenye indicator ya nyuma ( si mnajua magari ya kisasa yalivotengenezwa taa inatokeza njee ili iweze kukwangulilwa vizurii) sasa ukimkuta trafiki barabarani haelewi kwamba umekwanguliwa muda huo huo kama vile anataka urudi dukani ukanunue wakati huo maduka yameshafungwa yote. hapo utaishia kumpa mkono maana ukimpa fine 30,000 itapunguza bajeti ya taa
 
Back
Top Bottom