Trade test grade 1 2

msaidizimkuu

Member
Jul 5, 2020
39
10
Kuna kitu nashindwaga kukielewa nimehitimu VETA Udereva, Nina leseni , cheti cha form iv lakini nakutana na hiki kitu kwenye matangazo ya ajira GRADE TEST, GRADE I& II& III hii ikoje? Ni kozi gani?

Inatolewa muda gani na vigezo vya kusomea hiyo kozi ni vipi na pia inachukua muda gani kumaliza kila Grade.
 
Hii maana yake kusomea ufundi magari miaka miwil, level 11, ukifanya vizur111.
 
Back
Top Bottom