Trade dispute: Uganda considers ban on Kenyan products

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Naona mzee Mseveni kaona isiwe tabu ajibu mapigo baada ya Kenya kuzuia uingizaji wa mayai, kuku na maziwa toka Uganda.

Jaman hii kitu naona ni shida sasa,mchi za EAC zinapaswa kuandaa mfumo mzuri wa ufanyaji biashara pamoja.

====

December 14, 2021​


Uganda is considering restricting some of Kenya’s raw and processed agricultural products from its market, saying it will be merely reciprocating Nairobi's continued ban on Kampala's produce.

On Monday, the Ugandan Cabinet agreed to this nearly two-year proposal, which has often been opposed by President Yoweri Museveni.

According to Ms Rebecca Kadaga, the country’s minister for East African Affairs, Cabinet directed the Agriculture ministry to identify and list Kenyan products that will be banned by the Ugandan government within “a short time.”

“We have been too patient. In the past, we have not reciprocated, but now we are going to. This has gone on for too long and within a short time they too will understand what we are going through,” Kadaga told the media on Tuesday morning.

Kenya and Uganda have for a long time been embroiled in a trade dispute.
The latest hostilities between the two EAC partner states began brewing in December 2019, when Kenya stopped importing Ugandan milk, particularly the Lato brand.

In July 2020, Kenya followed up with a ban on Ugandan sugar, against an earlier agreement to increase Uganda’s sugar exports to Kenya.

Players within Uganda’s poultry industry too this week petitioned their government over Kenya’s ban of Uganda’s poultry products from their market for nearly a year.

Kenya maintains that some of the products are substandard and that it’s protecting its domestic market.

In November 2021, Nairobi postponed a trade mission to Uganda to resolve the sugar and milk import standoff, amid jitters on whether the two countries are ready to find a lasting solution to the impasse.

Kenya is Uganda’s biggest trade partner. Kenyan exports to Uganda in 2020 amounted to $673.66 million while Uganda's exports to Kenya stood at $465.55 million during the same period.

Observers say the trade row between the two countries could have long-running implications for imports and exports across the East African region, adding that the restrictions go against a Customs Union Protocol established by the East African Community (EAC) single market.
 
Naona mzee Mseveni kaona isiwe tabu ajibu mapigo baada ya Kenya kuzuia uingizaji wa mayai, kuku na maziwa toka Uganda.


Jaman hii kitu naona ni shida sasa,mchi za EAC zinapaswa kuandaa mfumo mzuri wa ufanyaji biashara pamoja
Ujumbe umeutoa mk*nduni mwako ama?
 
**** la mama yako


Uwe unafuatilia taarifa ya habari hata za vyombo vya habar vya Nchi jiran yako ...falaaaaa weweeee
Kawaida yenu kufungua mathread na kuandika uharo wa mk*nduni mwenu. Post the source of your information. Sio kuhara tu kama una kipindupindu.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hivi mnajiskiaje kurushiana matusi kama mlivyofanya? Ama matusi ndio hoja zenyewe??
Huyu mjinga mjinga sijui NRO walker ni tahira Sanaa yaan ana nitusi bila aibu, so huku tuna msemo wetu wa kiswahil unasema akuchokozae mmalize
Mm nikaona NI kheri ni mmiminie mitusi Kama alivyo taka
 
Tatizo ninyi wakenya hamna uvumilivu ndio sababu mnachinjana hovyo kila uchaguzi, ulikua na sababu gani ya kuanza kumtusi badala ya kuomba "source" kwa lugha ya kawaida?, Jifunzeni ustaarabu toka TZ
Huoni yeye ndio ananitusi?🤣🤣

Anyway, it's stupid to open threads without sources and you people love doing that. Kwani hamna akili?
 
Huoni yeye ndio ananitusi?

Anyway, it's stupid to open threads without sources and you people love doing that. Kwani hamna akili?
That's why Tanzania remains stable and peaceful while it's neighbors are struggling to archive the same, we always embrace tolerance, respectful and love for one another
 
That's why Tanzania remains stable and peaceful while it's neighbors are struggling to archive the same, we always embrace tolerance, respectful and love for one another
So you mean Kenya is unstable and not peaceful?. Tanzania and tolerance, respectful, love etc in same sentence, really?
 
Naona mzee Mseveni kaona isiwe tabu ajibu mapigo baada ya Kenya kuzuia uingizaji wa mayai, kuku na maziwa toka Uganda.


Jaman hii kitu naona ni shida sasa,mchi za EAC zinapaswa kuandaa mfumo mzuri wa ufanyaji biashara pamoja
Mataifa ya kiimla kamwe hayawezi kuwa rafiki wa Kenya. Ndio maana Hayati hakuwa rafiki ya kenya na kenya kwa taarifa za siri wakatengeneza dude moja kwenye mtandao lililo mtesa sana mzeee... Dude lile baada ya Baba kuondoka na Mama kwenda kuongea nao sasa hivi ni joka lisilo na kibisa. Limepoa....
Kufupisha maneno tungesema mbea namba moja anaye toa siri za mataifa ya africa kwa ukanda huu ni Ke... Ndio maana yule mtu mrefu nikama ana hepa sana taifa hilo ila ukweli ni kwamba hata pepo ya majasusi wa dunia ipo ke.... Hutaki tulia uwone.
 
Back
Top Bottom