Trekta lipo Morogoro mjini(nanenane), lipo katika hali nzuri sana. Unaruhusiwa kuja kulikagua. Ni 4wd na ni 75hp. Unauziwa pamoja na jembe lake.
Bei ni 36m. Mazungumzo yanaruhusiwa. Namba za mawasiliano ni 620 559595View attachment 1938539View attachment 1938541View attachment 1938540
Waheshimiwa naelewa concerns zenu hapa, ila hiyo nimepost kwa niaba ya mmiliki wa chombo. Kama upo interested namba zake nimeziweka hapo mnaweza kuwasiliana nae mkafikia makubaliano.