Tractor linauzwa, aina ni John Deere

blacksamurai

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
379
592
Trekta lipo Morogoro mjini(nanenane), lipo katika hali nzuri sana. Unaruhusiwa kuja kulikagua. Ni 4wd na ni 75hp. Unauziwa pamoja na jembe lake.

Bei ni 36m. Mazungumzo yanaruhusiwa. Namba za mawasiliano ni 620 559595

IMG-20210914-WA0000.jpg
View attachment 1938540
 
Waheshimiwa naelewa concerns zenu hapa, ila hiyo nimepost kwa niaba ya mmiliki wa chombo. Kama upo interested namba zake nimeziweka hapo mnaweza kuwasiliana nae mkafikia makubaliano.
 
Hizi tractor nzuri sana ila kama hujawah imiliki kaa chini utulize akili spare ghaali sana japo ni nzuri
 
sisi tuendelee kupambana na New holland hzo John Deer bado hatujafikia huko
 
Tractors users naomba tuwe na wasap group la kujadili haya mambo wale interested tuwasiliane 0653 639214
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom