Tracing mobile phone

ipo njia ya ku2mia software ya spybubble na nivizur ukiinstall netqin antvirus kwan ina uwezo wa kulinda cm yko..i mean utaweza trace cm yko kam ikipotea au kuibiwa.
 
Makampuni ya simu na mamlaka ya mawasiliano wanapaswa kutulinda juu ya tishio hilo la wizi kwa kushirikiana na Polisi.Iwapo kampuni itashindwa kuonyesha ushirikianao katika kukomesha wizi/uharifu wowote basi ifutiwe usajili
 
mimi nadhani ungepewa jina la sehemu aliyochukulia pesa na labda utapata ID iliyotumika au labda anajulikana na waliompatia pesa. Kwa TZ nadhani hii ndio itakuwa rahisi.

Ila ni fundisho kubwa kupatia namba ukituma. sijui hii inafanyaje kazi ila itakuwa lazima imeliza watu wengi sana.

Kingine mpokeaji pesa kwai anapewa jina la nani katuma au? ila hii kitu ukimpata akasemanae alikuwa anategemea pesa akadhani ndio hizo kesi ipo kweli hapo?
 
Mkuu..kuna wakati confirmation msg inachelewa kuja.upande wa pili mpokeaji anakuwa ameshapokea na huku mtumaji hajapata msg ya uhakikisho
 
unaposema ndani ya masaa ishirini na nne ni kuwa hiyo account ya aliyepokea inakuwa imezuiliwa? Au wkt huo anaweza kwenda kwa mtoa huduma akatoa na pesa?
mkuu..hii inawezekana tu iwapo mtumiaji hajazikomba hizo pesa na pia kama akaunti yake inatunza chochote
 
Ongea na watu wa voda wakuonyeshe katika list call yao ni mtu gani wanaepigiana simu mara kwa mara,mnambana huyo mtu ambaye wanawasiliana mara kwa mara ataenda kuwaonesheni jamaa anapoka
 
yani pamoja na watu kufanya registration bado haya yanatokea, aisee!
Usajili unafanyikia mitaani pia simu ambazi hazijasajiliwa zinadunda kama kawaida..hapa bado kuna mgongano kati ya TCRA na network operators
 
Paulss
nakubaliana na wewe kwa 100%.tatizo ni ushirikiano mdogo btn police na net operators..pia kwa polisi ni tatizo zaidi kwani anataka ale kotekote yaani hata hizo pesa anazitaka yeye
 
Mlendamboga lakini sio kwa wali
Inawezekana hivyo kabisa ila yahitaji ufuatiliaji sana na kwa case yangu nipo mbali na mtuhumiwa
 
Mkuu unaweza kuniambia baada ya kugundua umetuma pesa kwa mtu ambaye ukukusudia kumtumia ilichukua mda gani kuwasiliana na vodacom?
it took about seven minutes.nilishtuka niliyemtumia aliponipigia hajapata nami nilipoangalia msg ya uthibitisho...ambayo ilichelewa kidogo nikagundua imeenda siko.bahati nzuri voda walipokea mara moja
 
Kwa simu ya wizi inaweza kuwork out lakini kwa mwizi wa fedha atakuwa na shaka
 
Pole saana Inkoskaz hiyo huwa inatokea, ila nakushauri uwasiliane na vodacom wakupe location ya wakala alipochukulia fedha nadhani inaweza kusaidia!!!! Investigation ya police inaweza kuanzia hapo si ajabu eneo hilo anajulikana!!!!Wewe pia hujaweka namaba zako za simu in case of anything as precaution!!!!

 
ipo njia ya ku2mia software ya spybubble na nivizur ukiinstall netqin antvirus kwan ina uwezo wa kulinda cm yko..i mean utaweza trace cm yko kam ikipotea au kuibiwa.
tumlack
Hii inawezekana kwa simu iliyoibiwa kwa kuwa ina hiyo software au zinginezo utweza kuitrace.
Lakini kutrace simu isiyo na hiyo application ndio pagumu hapo
 
kazi ndogo sana kaka wala usijali, chakuzingatia muda na thamani ya hiyo pesa yako.

Nini cha kufanya?
Inabidi uwe na rb na barua kutoka polisi kwenda vodacom kwa ajili ya kukusaidia tatizo lako.

Baaada ya hapo kinachofanyika voda waangalie mtu wake wa karibu kwa maana ya watu anaowasiliana nao mara kwa mara ikibidi mke kwani wanaweza kuona hata sms zake za zamani na mpya hilo ni rahisi sana.
Baada ya hapo voda watampigia mtu huyo amabye wataona ni mtu wake wa karibu kuwa ameshinda promosheni ya voda afike ofisini kwao kujinyakulia zawadi yake. Akifike yeye na polisi na wewe mtampata mtuhumiwa kwani anamjua naye atamuita mtampata very simple.
 
Mtumishi wetu
Upo sahihi..upelelezi wowote huhitaji chanzo na facts
+255 767 000 005
 
Wanatamani
This sounds good,naifanyia kazi
 
brother pole sana, ila ushauri wa hapo juu from Inkoskaz upo hot...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…