TRACE YOUR GIRLFRIEND, WIFE e.t.c just by inputing her phone number

TRACE YOUR GIRLFRIEND, WIFE e.t.c just by inputing her phone number

Hebu saidieni namna ya kutrace Iphone yangu ikiibiwa. Hii krismasi tuna wageni sana huku kibosho. Wakiondoka na simu yangu tu nawakamata.
 
Hahahahaha kweli aliye disaini hii joke tracing alikuwa anatumia masaburi,

Yaani huwezi kuona hadi ufumbe macho kwa asilimia 60 ndo utaona location yako kuwa umeinamishwa na cameron.

Anyway it a joke
 
Back
Top Bottom