TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

Ngoja nikueleweshe kidogo tofauti ya withholding tax, provisional tax na corporate tax.
Withholding tax ni kodi ya mapato ya awali(advance payment) inayokatwa na kuwasilishwa TRA na mlipaji kwa niaba ya mlipwaji.
Mfano mimi kama tax consultant nikaja kukusaidia kazi za kiuhasibu kwa makubaliano wa kunilipa TZS 10,000,000.
Unatakiwa ku-withhold 5% ya contract price, ambayo ni 500,000 na badala yake unanilipa net ya TZS.9,500,000.
Assume mwaka mzima nilipata kazi hiyo moja tu.
Lakini niliingia gharama za operating cost may be 8,000,000 kwa mwaka mzima.hivyo faida ni 10,000,000 minus 6,000,000= hivyo faida ni 4,000,000.
Sasa corporate tax ni 30% ya faida ,hivyo natakiwa nilipe 1,200,000.
Sasa before sijalipa
(i) natakiwa ni-deduct advance payment ya withholding tax ambayo ni laki 5.hivyo tax payable inapungua kutoka 1200,000 to 700,000
(ii) natakiwa ni-deduct provisional taxes nilizolipa kwenye all 4 installments, let say nililipa 150,000 for each installment, hivyo nimeashalipa total of 600,000
Hivyo basi tax liability inapungua kutoka 700,000 to 100,000.
In summary corporate tax of 1200,000 umeilipa kama ifuatavyo
● 500,000 by way of withholding tax
● 600,000 by way of installment
● 100,000 by way of final tax.
Nadhani hakuna double taxation hapo
Mkuu mbona unajiumbua.
Mifano kama hii na mtu kujiita Tax Consultant inaonyesha jinsi TRA inavyosajili watu dhaifu katika shughuli za kodi.
Hiki ni kielelezo cha very low benchmark ya tax personnel nchini.
 
Endeleeni kuanika uchafu wa hao ma-TRA taarifa zinafika msichukulie poa.


Wekeni majina na ofisi za hao maafisa wapenda rushwa.View attachment 1651733
Wengi wenye Tabia hii mbovu ya kuwafungia Account wafadhili kwa uonevu unyanyasaji kukomoana kutengeneza mazingira ya Rushwa wapo wilaya ya ilala Kinondoni na Temeke waziri mpaka pitia kwenye mabenk omba list ya wafanyabiashara wote waliofungiwa account fanya nao vikao watakupa list ya maofisa wa TRA. Vinara wa kuwafungia wafanyabiashara Account zao
 
Mpuuzi kama wewe Leo utajitokeza kumuunga mkono Mpango baada ya kuweka wazi unyanyasaji wa TRA!! Hivi akili huwa mnaweka kiungo gani nyie msiojitambua?
Watu wengi wamenyanyasika mno wengi wamefungiwa Account kienyeji pasipo kutarifiwa
 
Mkuu mbona unajiumbua.
Mifano kama hii na mtu kujiita Tax Consultant inaonyesha jinsi TRA inavyosajili watu dhaifu katika shughuli za kodi.
Hiki ni kielelezo cha very low benchmark ya tax personnel nchini.
Kuna Tatizo kubwa kwenye mfumo wa ajila TRA, wengi wa watumishi wa TRA wana uelewa Mdogo juu ya ukusanyaji kodi , na hao ndiyo wamepelekea kuwepo na usumbufu kwa wafanyabiashara usio na tija
 
Hivi yule mfanyabiashara muha wa kariakoo alifikia wafi kwenye mivutano na TRA. Mbaka namuoneaga huruma anavyo lalamika. Sio ishu hapa kazi tu.
 
Mimi nikimaliza hii mitano ya huyu mwamba sijafilisiwa au kwenda jela nitafanya sherehe kubwa ya kukata na shoka!Wafanya biashara tupo tu hata hatuelewi kesho yetu.
TRA wanafanya ukaguzi juu ukaguzi Yaani wenzao wanakagua na wao wanapita kukagua kisha kuwabambikia kodi kubwa VAT kufunga Account kuomba Rushwa na endapo utagoma kutoa Rushwa wanatengeneza mazingira ya kubambikiwa kesi ya uhujumu uchumi utakatishaji fedha
 
Mkuu mbona unajiumbua.
Mifano kama hii na mtu kujiita Tax Consultant inaonyesha jinsi TRA inavyosajili watu dhaifu katika shughuli za kodi.
Hiki ni kielelezo cha very low benchmark ya tax personnel nchini.
Mimi sikatai kukosolewa , sasa niambie nakosea wapi. Shida yenu humu mnalalamika tu
 
Hivi yule mfanyabiashara muha wa kariakoo alifikia wafi kwenye mivutano na TRA. Mbaka namuoneaga huruma anavyo lalamika. Sio ishu hapa kazi tu.
Wakikubambikia kodi wakafunga account ukagoma kutoa Rushwa hutengeneza mazingira ya kukumbatia kesi ya uhujumu uchumi utakatishaji fedha hawana huruma wamejaa uonevu wa kutisha mno
 
Mimi sikatai kukosolewa , sasa niambie nakosea wapi. Shida yenu humu mnalalamika tu
Nenda TRA kawakataze waache kuwabambikia kodi kuwafungia Account wafanyabiashara kienyeji kwa njia haramu za kishetani wakati tayari wamelipa kodi na wana Tax Clearence zao, Huu ukaguzi juu ya ukaguzi wa awali ndiyo kero namba one, wakaguzi wa TRA kudharau wakaguzi wa awali ambao ni maofisa wa TRA wenzao ndiyo upumbavu unaolalamikiwa mno
 
itungwe Sheria kali kuzuia TRA kufanya ukaguzi juu ya ukaguzi wa awali kwani ndiyo mbinu hutumika kutengeneza mazingira ya Rushwa na pia itungwe Sheria kali kuzuia TRA kufunga Account za wafanyabiashara kienyeji kwa njia haramu za kishetani kwani inawapunguzia imani na mabenk ndiyo maana wafanyabiashara wakubwa wameamua kuhamishia pesa zao kwenye mabenk ya Uganda Zambia kenya na kwingineko na baadhi kutoweka pesa zao Bank, kufunga Account hovyo hovyo kutaziathiri Bank kwa kukosa wateja , inashangaza kuwa mabenk hawajawaandikia Barua TRA juu ya hilo Tatizo
 
Mbona nyambafu wengi zaidi mnao majumbani kwenu wakijenga mahekalu huko Kimara, Kinsudi, Bonyokwa na kwingineko.
Semeni tu !
Tulianzishe kuleta picha humu mtandaoni?
Na uzuri siku hizi unaweza weka hata google location.
Ulikua unataka kusemaje kwani?
 
Nenda TRA kawakataze waache kuwabambikia kodi kuwafungia Account wafanyabiashara kienyeji kwa njia haramu za kishetani wakati tayari wamelipa kodi na wana Tax Clearence zao, Huu ukaguzi juu ya ukaguzi wa awali ndiyo kero namba one, wakaguzi wa TRA kudharau wakaguzi wa awali ambao ni maofisa wa TRA wenzao ndiyo upumbavu unaolalamikiwa mno
Sikatai kama TRA kuna wafanyakazi wasio waadilifu, ila ukubwa wa hilo tatizo ni ndogo sana kulinganisha na tatizo la wafanyabiashara kutofuata sheria za kodi ama kwa ignorance au kwa makusudi( tax evasion and tax avoidance).
 
Mimi sikatai kukosolewa , sasa niambie nakosea wapi. Shida yenu humu mnalalamika tu
Kila mtu akikuambia uko uchi na wewe wala hujui hiyo nibserious.
Rejea mfano wako.
Inaelekea hujui kwamba WITHOLDING TAX haikatwi kwenye Cobtract sum, bali ile part ya labour and service.
Kaisome hiyo sheria uielewe.

Pili umemung'unya tu kujibu juu ya profit margin ya biashara yako ya u consultancy.
Nilitaka kukubandika suali la nyongeza hapo ili uone fallacy ya argument yako.
Kwa jinsi ulivyo shallow kwa mambo ya kodi na biashara wewe unasema swali la kitoto.
Hapo ndio utajipima mwenyewe.
 
kulifuatilia hili lalamiko na kutoa maagizo ya kutatua kero hii.

20201217_081408.jpg


Tunashukuru kwa serikali kufuatilia.
Hayo tunayosema si majungu, ni ukweli kabisa.
 
Kila mtu akikuambia uko uchi na wewe wala hujui hiyo nibserious.
Rejea mfano wako.
Inaelekea hujui kwamba WITHOLDING TAX haikatwi kwenye Cobtract sum, bali ile part ya labour and service.
Kaisome hiyo sheria uielewe.

Pili umemung'unya tu kujibu juu ya profit margin ya biashara yako ya u consultancy.
Nilitaka kukubandika suali la nyongeza hapo ili uone fallacy ya argument yako.
Kwa jinsi ulivyo shallow kwa mambo ya kodi na biashara wewe unasema swali la kitoto.
Hapo ndio utajipima mwenyewe.
Baadhi ya malipo ambayo yapo subject na withholding tax ni kama
1.Paye
Hapa withholding unapiga kwenye gross before any deduction
2.secondary employment.
The same as primary tofauti ni rate tu
3.annual part time director fee
Inapigwa kwenye gross

4.malipo ya insurance premium kama ume-insure kwenye makampuni ya bima yaliyo nje nchi.
Inapigwa kwenye gross
5. Malipo ya kamisheni ya mawakala wa Mpesa, tigopesa etc
Kama wakala ametengeneza kamisheni ya mil.1 anapigwa withholding tax ya 10%
6. Kama una-supply bidhaa ofisi za serikali, kabla hujalipwa unapigwa withholding tax ya 2% ya gross
7.umenunua hisa , ukalipwa gawio.kabla hujalipwa unakatwa 10%
8.umeweka pesa kwenye fixed deposit ukapata interest, kabla hujalipwa unakatwa 10% ya gross
9.una kitalu chako cha mgodi au shamba lako ukaamua kukodisha watu walime au wachimbe kupata madini, kabla hawajakulipa wanakukata 15% ya gross
10.umepangisha fremu zako za biashara au apartment for business purpose, kabla hujalipwa unakatwa 10% ya annual gross amount
11.umekodisha ndege kama chadema walivyokodisha ndege kwa Lissu alipopigwa risasi, chadema walikata witholding tax ya 10% kabla hawajamlipa
11.ndege za biashara zinazomilikiwa na non resident na hawana ofisi Tanzania, wakiwa wanapita Tz (in transitl kwa maana wakishusha abiria, haina shida , ila ikatokea wakapakia hapa nchini yule general agent wa tiketi anatakiwa akate withholding tax ya 15% kwa nauli za abiria waliopakiwa airport za tz.kama hujaelewa vizuri mfano zamani watu wanaokwenda bukoba walikuwa wanapita Nairobi na Uganda ndio wafike bukoba, sasa kwa abiria waliopakia DSM au mkoa wowote wa tz mf.arusha na anaenda bukoba hakuna withholding tax ila akipakia mteja Kenya au Uganda na huyo mteja anakuja tz, yule agent wa tiketi wa Kenya au Uganda atakata witholding tax na kupeleka TRA za Kenya au Uganda.na hizi zinapigwa on gross

Sasa tuje kwenye service , nikueleweshe vizuri.
Service inayokatwa withholding tax, zinategemea huyo anayetoa service ni resident au non resident
(i) incase of resident service provider, service inayomaanishwa hapa ni professional service na ni 5%, na sio any service.mfano cleaning and sanitation service ni service lakini sio professional service hivyo hizi kampuni za usafi maofisini hatuzicharge withholding tax
(ii) incase of non resident service provider, service inayozungumziwa hapa ni all services.hatubagui na ni 15%.

Sasa kuna njia tofauti 6 za kucharge withholding tax depend na aina ya mkataba wa hiyo huduma. Ukitaka darasa na hili nitakupa nikipata muda.

Sasa kuwa specific huelewi nini nikueleweshe
 
Back
Top Bottom